Wamiliki TV Watishia Kuzima Mitambo ya Digital

Wamiliki TV Watishia Kuzima Mitambo ya Digital

MaxShimba

Platinum Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
36,008
Reaction score
4,093
Dar es Salaam. Wamiliki wa vituo vya utangazaji vya televisheni nchini, wamesema watasitisha kurusha matangazo ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa kutokana na kushindwa kumudu gharama za uendeshaji.

Hatua hiyo inatokana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzima mitambo ya analojia na kuhamia dijitali Desemba 31, mwaka jana kitendo walichodai kimepunguza mapato yanayotokana na matangazo.

Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (Moat), Reginald Mengi alisema hakuna haja ya kurusha matangazo kwa hasara.
Mengi alisema kutokana na kuanza kwa mfumo wa dijitali, watangazaji wamesitisha kutoa matangazo kwa sababu wananchi wengi hawana ving’amuzi.

“Kama mamlaka itashindwa kurudisha ule mfumo wa analojia kuwa sambamba na dijitali hadi wananchi watakapokuwa na ving’amuzi, tutazima televisheni zetu ndani ya mwezi mmoja ujao,” alisema Mengi.

“Ibara ya 18 ya Katiba imekiukwa kutokana na wananchi kunyimwa fursa ya kupata habari, hivyo hali hii hatutaki iendelee,” alisema Mengi.

Mengi ambaye pia ni mmiliki wa vituo vya televisheni vya ITV, EATV na Capital TV, alisema licha ya nchi za Afrika, Tanzania imekuwa ya kwanza kuzima mitambo ilhali wananchi hawakuwezeshwa kumudu gharama za ving’amuzi.

“Nchi ambazo zimeendelea kwa kila kitu kama Uingereza, Marekani, Japan na kwingineko kuzima mitambo ya analojia walitumia zaidi ya miaka minane kwa nini sisi tumewahi hivi wakati hatujajipanga?” alihoji Mengi.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Sahara Media Group na mmiliki wa Kituo cha Star Tv, Samwel Nyalla alisema hivi sasa wanaendesha biashara hiyo kwa hasara.

Nyalla alisema hadi mwaka 2015, hali itakuwa mbaya kutokana na kukosa ving’amuzi.
Mkurugenzi wa Utangazaji wa TCRA, Habby Gunze alisema wao hawakualikwa katika mkutano huo hivyo hawajui chochote. Gunze alimtaka mwandishi kwenda ofisini leo.

“Sisi hatujui chochote na kama unataka maelezo mengine njoo kesho (leo) ofisini kwetu uonane na Mkurugenzi Mkuu (Profesa John Nkoma), ili tuzungumze kwa ‘fact’ (kwa ushahidi) kipi kinachoendelea,” alisema Gunze.

Nukuu
“Kama mamlaka itashindwa kurudisha ule mfumo wa analojia kuwa sambamba na dijitali hadi pale wananchi watakapokuwa na ving’amuzi tutazima televisheni zetu ndani ya mwezi mmoja ujao labda TBC ndiyo itakayobaki”.
 
Wazo zuri sana Mengi endeleeni na msimamo huohuo tafadharini sana, ndugu zangu hawaangalii TVs kwasababu tu eti watu fulani wanataka KUUZA VING'AMUZI VYAO...Bravo Mengi na wengine wenye msimamo huo thabiti.
 
Very nice! tz bado nchi maskin kiac kwamba mwananch wa kawaida chakula,malazi na mavaz ndo wimbo mpaka leo! sasa ving'am
 
good.yan hli jambo limenikera mt hana mlo.af umwambie mambo ya ving'amuz,
 
Naona Mengi na jopo lake wanataka kuingilia biashara za wachache wa Serikalini.Inaweza ikawacost.
 
mengi.jpg

Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (Moat), Reginald Mengi

Dar es Salaam. Wamiliki wa vituo vya utangazaji vya televisheni nchini, wamesema watasitisha kurusha matangazo ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa kutokana na kushindwa kumudu gharama za uendeshaji.

Hatua hiyo inatokana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzima mitambo ya analojia na kuhamia dijitali Desemba 31, mwaka jana kitendo walichodai kimepunguza mapato yanayotokana na matangazo.

Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (Moat), Reginald Mengi alisema hakuna haja ya kurusha matangazo kwa hasara.
Mengi alisema kutokana na kuanza kwa mfumo wa dijitali, watangazaji wamesitisha kutoa matangazo kwa sababu wananchi wengi hawana ving’amuzi.

“Kama mamlaka itashindwa kurudisha ule mfumo wa analojia kuwa sambamba na dijitali hadi wananchi watakapokuwa na ving’amuzi, tutazima televisheni zetu ndani ya mwezi mmoja ujao,” alisema Mengi.

“Ibara ya 18 ya Katiba imekiukwa kutokana na wananchi kunyimwa fursa ya kupata habari, hivyo hali hii hatutaki iendelee,” alisema Mengi.

Mengi ambaye pia ni mmiliki wa vituo vya televisheni vya ITV, EATV na Capital TV, alisema licha ya nchi za Afrika, Tanzania imekuwa ya kwanza kuzima mitambo ilhali wananchi hawakuwezeshwa kumudu gharama za ving’amuzi.

“Nchi ambazo zimeendelea kwa kila kitu kama Uingereza, Marekani, Japan na kwingineko kuzima mitambo ya analojia walitumia zaidi ya miaka minane kwa nini sisi tumewahi hivi wakati hatujajipanga?” alihoji Mengi.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Sahara Media Group na mmiliki wa Kituo cha Star Tv, Samwel Nyalla alisema hivi sasa wanaendesha biashara hiyo kwa hasara.

Nyalla alisema hadi mwaka 2015, hali itakuwa mbaya kutokana na kukosa ving’amuzi.
Mkurugenzi wa Utangazaji wa TCRA, Habby Gunze alisema wao hawakualikwa katika mkutano huo hivyo hawajui chochote. Gunze alimtaka mwandishi kwenda ofisini leo.

“Sisi hatujui chochote na kama unataka maelezo mengine njoo kesho (leo) ofisini kwetu uonane na Mkurugenzi Mkuu (Profesa John Nkoma), ili tuzungumze kwa ‘fact’ (kwa ushahidi) kipi kinachoendelea,” alisema Gunze.

Nukuu
“Kama mamlaka itashindwa kurudisha ule mfumo wa analojia kuwa sambamba na dijitali hadi pale wananchi watakapokuwa na ving’amuzi tutazima televisheni zetu ndani ya mwezi mmoja ujao labda TBC ndiyo itakayobaki”.
 
Wazime tu mie nilishaacha kuangalia ITV toka 2005 wasidhani tuna shida na channels zao. Wapo wawekezaji watawekeza ktk digital
 
Mpango wa CCM ili wapiga debe wao TBC wabakie peke yao???
 
Wazime tu mie nilishaacha kuangalia ITV toka 2005 wasidhani tuna shida na channels zao. Wapo wawekezaji watawekeza ktk digital

majibu mepesi kwa maswali magumu?

Tanzania ni ajabu la nane Dunian.
 
majibu mepesi kwa maswali magumu?

Tanzania ni ajabu la nane Dunian.
wewe kwa mapenzi yako binafsi ndiye unababaishwa na mkwara mbuzi kama huo,mitambo haitazimwa na TCRA haitawapigia magoti,kama wamechemsha,wakawapishe wenye nguvu!
 
mengi.jpg

Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (Moat), Reginald Mengi

Dar es Salaam. Wamiliki wa vituo vya utangazaji vya televisheni nchini, wamesema watasitisha kurusha matangazo ndani ya mwezi mmoja kuanzia sasa kutokana na kushindwa kumudu gharama za uendeshaji.

Hatua hiyo inatokana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) kuzima mitambo ya analojia na kuhamia dijitali Desemba 31, mwaka jana kitendo walichodai kimepunguza mapato yanayotokana na matangazo.

Mwenyekiti wa Chama cha Wamiliki wa Vyombo vya Habari Tanzania (Moat), Reginald Mengi alisema hakuna haja ya kurusha matangazo kwa hasara.
Mengi alisema kutokana na kuanza kwa mfumo wa dijitali, watangazaji wamesitisha kutoa matangazo kwa sababu wananchi wengi hawana vingamuzi.

Kama mamlaka itashindwa kurudisha ule mfumo wa analojia kuwa sambamba na dijitali hadi wananchi watakapokuwa na vingamuzi, tutazima televisheni zetu ndani ya mwezi mmoja ujao, alisema Mengi.

Ibara ya 18 ya Katiba imekiukwa kutokana na wananchi kunyimwa fursa ya kupata habari, hivyo hali hii hatutaki iendelee, alisema Mengi.

Mengi ambaye pia ni mmiliki wa vituo vya televisheni vya ITV, EATV na Capital TV, alisema licha ya nchi za Afrika, Tanzania imekuwa ya kwanza kuzima mitambo ilhali wananchi hawakuwezeshwa kumudu gharama za vingamuzi.

Nchi ambazo zimeendelea kwa kila kitu kama Uingereza, Marekani, Japan na kwingineko kuzima mitambo ya analojia walitumia zaidi ya miaka minane kwa nini sisi tumewahi hivi wakati hatujajipanga? alihoji Mengi.

Naye Mkurugenzi Mkuu wa Sahara Media Group na mmiliki wa Kituo cha Star Tv, Samwel Nyalla alisema hivi sasa wanaendesha biashara hiyo kwa hasara.

Nyalla alisema hadi mwaka 2015, hali itakuwa mbaya kutokana na kukosa vingamuzi.
Mkurugenzi wa Utangazaji wa TCRA, Habby Gunze alisema wao hawakualikwa katika mkutano huo hivyo hawajui chochote. Gunze alimtaka mwandishi kwenda ofisini leo.

Sisi hatujui chochote na kama unataka maelezo mengine njoo kesho (leo) ofisini kwetu uonane na Mkurugenzi Mkuu (Profesa John Nkoma), ili tuzungumze kwa fact (kwa ushahidi) kipi kinachoendelea, alisema Gunze.

Nukuu
Kama mamlaka itashindwa kurudisha ule mfumo wa analojia kuwa sambamba na dijitali hadi pale wananchi watakapokuwa na vingamuzi tutazima televisheni zetu ndani ya mwezi mmoja ujao labda TBC ndiyo itakayobaki.
Mkuu Bukyanagandi nakuomba uachane na mwanasiasa Mengi,hivi anazungumzia Watanzania wapi?! Kwasababu mpaka sasa mitambo ya Analojia haijazimwa huko mikoani,lakini hata kama anazungumzia Watanzaia wa Dar,mbona wao hawajalalamika kufikia kuandama kwa kukasirishwa na msimamo wa serikali? Mimi nigekuwa serikalini nigesimamia maamuzi magumu,zima Tv yako!!
 
Mimi naona kama hii ni michezo ya kuigiza tu!! Hawataki kupitisha matangazo yao TBC/StarTimes; mwanzo Serikali ilikuwa imepanga wamiliki wa vituo vyote vya TV Tanzania wapitishe matangazo yao TBC, sasa cha ajabu Vituo vilivyo pinga pendekezo hilo na kutoa vizingizio chungu mzima mpaka wakakubaliwa mapendekezo yao, ndio hao hao wanalalamikia Serikali tena, mbona AGAPE wamekaa kimya kwa kuendelea kujitegemea kutangaza vipindi vyao kwa mfumo wa digitali bila ya kupitia StarTimes na wana vingamzi vyao toka siku nyingi tu, kama sikosei TV ya Zanzibar imekubaliana na AGAPE kupitisha matangazo yao.

ITV, EATV, Capital TV(zinamilikiwa na IPP media kama sikosei) na Star TV (Sahara Media Group) walipanga kujitegemea kwa kushirikiana na kuhunda sijui kampuni ya kusambaza matangazo kwa njia ya digitali i.e kumultiplex channels zao na wateja wengine kwa malipo, sasa kumetokea nini tena? - yaani wamekwama wapi? Hata vingamzi vya kusambaza kwa wananchi hawana na hatuna uhakika kama wamekwisha nunua mitambo ya digitali kusambaza matangazo nchi nzima including gap fillers, wakati hata StarTimes wenye misuli ya kusambaza dunia nzima wakipenda bado hapa nchini wana-rollout mitambo yao hatua kwa hatua i.e mkoa hadi mkoa i.e siyo kwamba wamekwisha cover nchi nzima!!!

Nataka ITV na mshirika wake wawe wakweli, wanaonekana wazi wazi walikuwa hawaja jipanga vizuri kushindana na StarTimes; wakubali ku-swallow their pride ili wapitishe matangazo yao StarTimes kwa gharama nafuu i.e wawaombe wapunguziwe malipo huku wakiendelea kujipanga vizuri. Ni kweli kuna nchi nyingine duniani ambazo zinaendelea kutangaza in dual form i.e analouge na digital huku waki-phase out analogia hatua kwa hatua mpaka ifikapo 2015, mimi sioni kama hilo litakubalika hapa kwetu, kama mgelalamika au kutoa mapendekezo hayo in advance kabla ya kuzima mitambo ya analojia hapo mge eleweka lakini hili la kuhibuka wakati the going ime-prove kuwa tough kwenu, sijuhi kama mtaeleweka - hayo ni maoni yangu binafsi.
Hata hii hoja ya kuhusu eti bei za vingamzi kwamba ndio inakwamisha wananchi, binafsi naona hoja hiyo haina mantiki yoyote, mbona StarTimes wanakodisha vingamzi kama huna hela za kununulia alafu wanavyo vya kumwaga - we sema labda malipo ya kila mwezi ndio litakuwa tatizo kwa wananchi walio wengi, nina uhakika Serikali inaweza kulipatia ufumbuzi hapo muda si mrefu !!

Hivi ITV na Star TV wanataka kueleza wananchi kwamba kama wangefanikiwa kuingiza vigamzi vyao nchini on time wangewahuzia wananchi vingamzi kwa bei gani? - si walikuwa wanazungumzia kwamba vitahuzwa kwenye laki na ushee hivi!
 
Mkuu Bukyanagandi nakuomba uachane na mwanasiasa Mengi,hivi anazungumzia Watanzania wapi?! Kwasababu mpaka sasa mitambo ya Analojia haijazimwa huko mikoani,lakini hata kama anazungumzia Watanzaia wa Dar,mbona wao hawajalalamika kufikia kuandama kwa kukasirishwa na msimamo wa serikali? Mimi nigekuwa serikalini nigesimamia maamuzi magumu,zima Tv yako!!

Heshima yako mkuu, nimekuelewa vizuri tu - pamoja mkuu.
 
Heshima yako mkuu, nimekuelewa vizuri tu - pamoja mkuu.

Asante kwa kunielewa mkuu wangu,haya madai ya akina Mengi ni ya kitoto sana,ni kweli kama unavyosema ktk post yako hapo juu kwamba walikua hawajajipanga. Ni aibu kwa mzee Mengi kutoa shutuma za aina kwa TCRA. Ama ndizo gia za kugombea urais kama mgombea binafsi ktk uchaguzi ujao?!
 
Mkuu Bukyanagandi nakuomba uachane na mwanasiasa Mengi,hivi anazungumzia Watanzania wapi?! Kwasababu mpaka sasa mitambo ya Analojia haijazimwa huko mikoani,lakini hata kama anazungumzia Watanzaia wa Dar,mbona wao hawajalalamika kufikia kuandama kwa kukasirishwa na msimamo wa serikali? Mimi nigekuwa serikalini nigesimamia maamuzi magumu,zima Tv yako!!
acha kukurupuka
soma kichwa cha habari vizuri, mzee mengi na wenzake wanalalamikia kupungua kwa mapato kwa vituo vyao vya tv na siyo malamiko ya wananchi.hata wewe ukifafanya biashara inayokutia hasara unalazimika kuiacha biashara hiyo hata kama unaipenda sana.hivi tanzania itapata hasara gani kukiwepo na both digitali na analogia
 
Tatizo la kuongozwa na watu waliofilisika kimawazo, waswahili wanaoendekeza matumbo yao, huyu Gunze ataalikwaje wakati kikao ni cha wamiliki wa vyombo vya habari, kwani yeye ni mmiliki? pili watamkuta wapi wakati hata mikutano ya idara anaifanyia mikoani ili kuendeleza per diem, hana muda kabisa na ofisi ile kazi ni safari zisizokuwa na mwisho kwa kodi yetu, ni kweli walikua na haraka gani ya kuzima mitambo zaidi ya kutoa biashara kwa watu wachache ili wafaidike, kwa nini wamiliki wapitishie matangazo yao TBC hawajui kwamba hii itazidisha garama kwa mtangazaji na ni kuwatengenezea TBC ulaji wabure wakati wameshindwa kufanya biashara kabisa? on top of our taxes? hii yote ni ubwege wetu halafu mijitu hapa ina argue kipumbavu tu, ukweli unabaki kwamba watu wengi zaidi wameacha kuongalia TV kwa sasa sema tatizo la moat nao wana argue bila studies, ni lazima study iwe commissioned ili ionyeshe kwa uhalisia namna upumbavu huu wa sifa ya kuwa wa kwanza Afrika Mashariki ilivyokuwa na negative impact kwa mtanzania wa kawaida,

Hawa ndio madalali wa mafisadi na kama wananchi tukiwa serious tunatakiwa tuwafukuze kazi na kuwafunga jela kwa kuvunja haki yetu ya kikatiba ya kupata habari, tunachekelea upumbavu wa wakina Mungy hapa hata kazi zenyewe wamepewa kama bakshishi this country ni ya ushenzi mtupu hawa ndio wangetakiwa kufanyiwa ushenzi na sio wakina kibanda
 
Back
Top Bottom