Mengi na ving'amuzi

Mengi na ving'amuzi

Status
Not open for further replies.

JOSEDIZOZ

Senior Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
134
Reaction score
30
Hongera mzee Mengi kwa wazo lenu la kuzima matangazo ya televisheni.Hakuna ubishi kwamba idadi kubwa ya watanzania hawaangalii matangazo ya tv pale dital system ilipoanza kufanya kazi.

Hivi kwa nn Tz tumekurupuka na hili? hivi Afrika Kusini na Tz wananchi gani uchumi uko poa? Mbn Afrika Kusini huu upuuzi wa digital bado haujawa wa lazima kwao?

Serikali iweke mkono kwenye vin'gamuzi watu wavipate kwa bei nafuu,neti watu wamegawiwa bure leo kin'gamuzi ndo atanunua kwa zaidi ya elfu sitini,si utani huu.Analogia irudi na iende sambamba na digital na anaetaka digital anunue kin'gamuzi asiye weza aendelee na analogia yake sio kubase kwenye kufanya biashara.

Wamehama kutoka kwenye SPEED GAVANA SASA WAMETULETEA VIN'GAMUZI MWISHO WA SIKU HATA HEWA YA MUNGU WATAKUJA KUTUUZIA.
 
Watanzania tunaonewa sana, serikali inatuendesha kama maboya!
 
Jk anataka awekwe kwnye kitabu cha Guiness eti kuwa wa kwnza kuzima anaologia
 
yawezekana kuna mshiko katika mkataba na starmedia, so wanakula chao
 
Bora Diktek inaweze kutukomboa!! Yaani nina Startimes sina hamu nayo kabisa. Tena sijui nilinunua ya nini ni ushabiki tu wakati kipindi kile nilikuwa na ungo mkubwa kabisa ambao hata leo unanipa home channels. Ila nasikia by Dec 2013 Startimes haitaweza kutumika tena Tanzania!! India waliilimbiza ila kwa kuwa Tanzania ni shamba la bibi ikapokelewa na kulelewa na Television ya Serikali, sorry television ya CCM!!
 
kiongozi; naomba ukumbuke kuwa ukiwa na ungo (setelite dish) huna haja ya kingamuzi labda upende mwenyewe. Kingamuzi ni shs 39,000,kwa bei ya promosheni.
Mimi najua kuwa huu uamuzi umekuja mapema ila pia naona wamelazimika kwa kuwa nchi za ulaya zote zimezima analalogia, sasa sisi tusipozima tutageuka kuwa soko la takataka zote za ulaya na mara tutakapozima wananchi wa tanzania wangepata hasara sana kwani tayari wangekuwa wamenunua vitu mbali mbali vya analogia kutoa ulaya.
Kwenda digital, nigharama mwanzoni ila tunakoenda utakuja kufurahia sana faida zake muda mfupi ujao. Mfano, bei za simu zitashuka zaidi (umejaribu kutumia airtel tel ukaona unafuu wa bei?) Kupiga simu kutoka mtandao mmoja kwenda mwingine itakuwa karibu sawa, hivyo hutakuwa na haja ya kuwa na laini nyingi.
Utaweza kuangalia TV kwenye sim yake picha safi na sio zile simu za kichina zinazo onesha mchele mchele.
Kamani mpenzi wa michezo, unaweza kuweka vocha kingamuzi chako ukaangalia kwako na michuano ikiisha ukabaki na chaneli zako za bure.

Nafikiri kwa huo mchango wangu unaweza kuona mwenyewe kuwa kikwete amelazimika kufanya hivyo ili kuepusha nchi yake kuwa dampu la takataka za ulaya
 
kama ivyo mkuu umenifungua macho na mackio. Asante
 
Ving'amuzi ni utapeli kama ilivyokuwa Jackpot Bingo tunadanganywa kuwa Bahati Nasibu inachezeshwa Live kumbe muda huo Kina monalisa wapo viwanja wamekabidh Viuno kwa wawekezaji wanafanya Upembuzi yakinifu kwenye Chimbo!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom