Nyalandu utatuua

Nyalandu utatuua

Papaa Kinyani

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2013
Posts
1,457
Reaction score
699
Viongozi wengine wanakurupukaga kwa interest binafsi, eti Huyu waziri mdogo wa utalii, sijui anaitwa Nyalandu kapiga marufuku kuuzwa pombe makumbusho ya taifa, sasa hajui kuwa inaendeshwa kwa kodi za wafanyabiashara wa pombe na chakula ndani ya makumbusho hiyo? eti anataka akumbukwe kwa kuwanyima ajira watanzania, maana kuna wahudumu wa bar na chakula, wote hawa kama 20 wanategemewa na watu kama 6 huko kwao, piga hesabu sasa 6x20 = 120 watakuwa na maisha magumu kwa maamuzi ya kukurupuka ya Nyalandu. Vile vile kuna bendi pia zinaburudisha mwisho wa wiki, nao hawajafikiriwa maisha yao, kwa kuwa Nyalandu ana uhakika wa kula daily, wala hakujali hilo, eti wapangaji mkataba wao ukiisha wasipewe mwingine. Hiyo ni busara kweeeeliiii? Eeee Nyalandu, ni kweli ulikurupuka????
 
ahhahahahahahahhahahhaha kama asipovunja nyumba zilizopo barabarani Dr.pombe
tutapita wapi ?Sheria ifuatwe
 
Wewe Harakat, hujaelewa, acha kukurupuka, sio kuvunja nyumba za barabarani, ni pale makumbusho ndani kapiga marufuku biashara.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom