Tathmini ya onesho la fa vs jide

Tathmini ya onesho la fa vs jide

dedam

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2011
Posts
845
Reaction score
166
Tunaomba waliohudhuria haya matamasha watujuze nani kampiga ngwala mwenzako,maana walivyokuwa wanatambiana!
 
Team anakonda nomer,zito alitaman kurud kwa jide kwa jinsi shoo ya Fa ilivopoa
 
Jide katisha,aisee.Anakonda kaonyesha kuwa hajashuka,Ruge akome eti kupokezana vijiti nyoooooo.Mziki ni kazi bwana hamna cha kupokezana vijiti.Jide goooooo mama,Funs unao
 
sikufika kwa fatuma lkn sidhani hata kama aliweza kumsogelea jide,usipime mkuu ukumbi ukitapika watu nje nyomi ya kumwaga kiukweli show ya jide ingepasa ifanyikie sehemu kubwa zaidi,watu nje walikuwa radhi hata km wamekosa viti lkn hakuna kurudi hm.......
 
Anayemfaananisha JIDE na FA hajui muziki na hajui tofauti ya muziki. Hata asingekuwa JIDE lets say Linah bado show ya FA ingeuwa bomu kwa maana ya kukosaa watu maana locaton, kiingilio was very unproportional na mashabiki wa muziki wa FA.
Ruge na Clouds media wameonesha kuwa na umasikini wa fikira.
 
hahaha,so kina ruge wamepakatwa jana
 
Anayemfaananisha JIDE na FA hajui muziki na hajui tofauti ya muziki. Hata asingekuwa JIDE lets say Linah bado show ya FA ingeuwa bomu kwa maana ya kukosaa watu maana locaton, kiingilio was very unproportional na mashabiki wa muziki wa FA.
Ruge na Clouds media wameonesha kuwa na umasikini wa fikira.

hebu tetea hoja yako
 
Hii ndo habari ya jana,jide kafanya mauaji aiseeh

Hawa ndio mashabiki walioshindwa kuingia ndani kutokana na ukumbi kufurika. Idadi ya watu waliokuwa nje wakioomba kuruhusiwa kuingia ndani ilikuwa kubwa kuliko iliyokuwa ndani, na kama wangeruhusiwa basi maafa yangetokea.
Kiukweli Jide kawafunga mdomo Clouds FM na watu wake, kwa umati niliouona ungefurika hata kwenye uwanja wa Taifa. Matokeo haya yamemweka pabaya zaidi Mwana FA, toka moyoni namuonea huruma sana kwa kuingilia ugomvi.
 
hata picha basi
Hii ndo habari ya jana,jide kafanya mauaji aiseeh

attachment.php
 
Mi mwenyewe ningeshangaa FA AMFUNIKE JIDE, maweee,ila bado sijaona shoo ambazo zinaweza kufunika shoo za enzi za kina juma nature na album za nin chanzo,na ugal pale diomondi jubilee nasema hakuna aisee
 
Back
Top Bottom