Msaada wa jina la wimbo huu

Msaada wa jina la wimbo huu

Transman

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2013
Posts
871
Reaction score
657
Habari zenu wana jamii.
Ninashida wa wimbo ambao siujui jina lake yeyote mwenye kujua tafazali anisaidie.
Wimbo wenyewe ameimba AY na jamaa simfaham kutoka Uganda.
Verse ya wimbo huo
Binadam sio watu,
Ukiwa na hela utawaona
Mbona sasa wamekimbia.
 
Mbona sasa wamekimbia.[/QUOTE

wimbo unaitwa 'binadamu' ni wa AY ameimba na Maurice Kirya.
 
Habari zenu wana jamii.
Ninashida wa wimbo ambao siujui jina lake yeyote mwenye kujua tafazali anisaidie.
Wimbo wenyewe ameimba AY na jamaa simfaham kutoka Uganda.
Verse ya wimbo huo
Binadam sio watu,
Ukiwa na hela utawaona
Mbona sasa wamekimbia.

unaitwa Binadamu.
 
Back
Top Bottom