Vazi la taifa

Vazi la taifa

mossad007

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
1,165
Reaction score
852
Wadau nauliza hivi ule mchakato wa vazi la Taifa umeishia wap? Mana ni mda sasa sijasikia lolote ni nini kinaendelea! Mwenye kufaham.
 
Huifahamu serikali yetu mkuu. THINK
 
Baba V naifaham Rais JK, PM Mizengo, Spika Makinda, Jaji Othman
 
Baba V naifaham Rais JK, PM Mizengo, Spika Makinda, Jaji Othman

Hayo ni majina ya viongozi, Baba V kakuuliza serikali.

This time mwaka kesho utakuwa unauliza juu ya Vitambulisho vya Taifa, maana kwa sasa hatujui kama sisi ni Watanzania au Watanganyika. Stay tuned!
 
Last edited by a moderator:
Halafu km sikosei kuna WAZIRI alizindua mchakato wa kupata hilo Vazi sijui hata kama anakumbuka..Nchi ya ajabu hii eti vazi la taifa linatafutwa kwa mchakato unaogharimu hela
 
Baba V naifaham Rais JK, PM Mizengo, Spika Makinda, Jaji Othman
Spika Makinda ni Parliament (legislative), na Jaji Othman ni judiciary. Serikali ni just the executive.
 
Halafu km sikosei kuna WAZIRI alizindua mchakato wa kupata hilo Vazi sijui hata kama anakumbuka..Nchi ya ajabu hii eti vazi la taifa linatafutwa kwa mchakato unaogharimu hela

Umenchekesha hopefull anakumbuka!
 
Alafu kweli, ile kasi imeishia wapi, zitakuwa zilikuwa mbio za sakafuni hizo...
 
Tanzania yetu ukiona kitu kimeanza kwa mbwembwe ujue basi kina ulaji na harufu ya ufisadi lakini kama ni cha haki sawa kitatupwa kapuni mpaka mwisho wa dahari.Vazi la taifa halina maslahi kwa hiyo halizungumziki labda mapaka hapo tutakapopata wafadhili
 
Back
Top Bottom