toghocho
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 1,172
- 198
Ni maneno gani, au majibizano gani yaliyo ku impress kwenye movie, ambayo uliangalia then ukarudishia usikilize tena?
mimi kuna hii: "what ar u gonna do?"...jibu: "my job."
then hii ...".is this a joke?" jibu" am I laughing?"
.....anamkiss.......''.I'm married''....jibu..."get out"
..."you are a lost soul if you have nothing to believe in "....jibu..." I believe in myself"
je wewe ni majibizano/maneno/line gani imekuimpress zaidi?...