Azam tv

Azam tv

Wa nyamadyaki

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2013
Posts
1,178
Reaction score
529
Waungwana ambao washamiliki ving'amuzi vya azam tv, nimesikia kuna stesheni mpya za Itv, Eatv na Star tv wameziongeza tayari. Mwenye kujua jinsi ya kuzi search msaada tafadhari.
 
Si kweli. TV za Tanzania zinazoonekana ni Azam 1, Azam 2, TBC, Channel 10, Clouds Tv na ZBC.
 
lawama zote watupiwe [tcra] kwa sababu ni kama hawapo kabisa wali toa maelekezo kwa wamiliki wote wa makampuni ya vingamuzi vya ndani ya nchi,nilazima kila kampuni [startimes][ting][digitek][contnental][azam tv] ziwe na station 5 za [itv][tbc][star tv][chanel 10][eat tv] sasa na shangaa kwamba [tcra] hawalioni hau ndio sheria hazifuatwi???? sasa kuna maana gani [tcra] kuwepo? ikiwa mtoa huduma mmoja hapewi haki ya kuweka vituo vya station???? wengine kama [star times][ting][digitek][contnental] wana pewa????au bakhresa sio mtanzania???????
 
Tatizo sio TCRA ambao wao ni waajiriwa wa kawaida tu kuanzia bosi mkuu hadi wa chini. Tatizo ni kuruhus nchi iongozwe kwa nguvu ya pesa na siasa uchwara.
 
mbona DStv za ndani wanaonyesha tbc one star tv na channel ten pekee. kama kuna jinsi ya kusearch ITV nijuzeni
 
Ipp na sahara media inaonekana wanamatatizo. Maana star tv walovyoanzisha king'amuzi chao walijitoa star times
 
Watake wasitake azam ndo kawaonyesha ni nini maana ya digital picture and sound
 
lawama zote watupiwe [tcra] kwa sababu ni kama hawapo kabisa wali toa maelekezo kwa wamiliki wote wa makampuni ya vingamuzi vya ndani ya nchi,nilazima kila kampuni [startimes][ting][digitek][contnental][azam tv] ziwe na station 5 za [itv][tbc][star tv][chanel 10][eat tv] sasa na shangaa kwamba [tcra] hawalioni hau ndio sheria hazifuatwi???? sasa kuna maana gani [tcra] kuwepo? ikiwa mtoa huduma mmoja hapewi haki ya kuweka vituo vya station???? wengine kama [star times][ting][digitek][contnental] wana pewa????au bakhresa sio mtanzania???????

TCRA ipo kimaandishi tu na ki Ofisi kama vile ilivyo Tanzania kimaandishi ni 'Taifa la Ujamaa na kujitegemea'
 
jamani hata zuku hakuna itv na star tv bora hata waweke za kulipia ila hata ukilipa huoni tcra wamelala sana. Bora hata watuuzie kama za bure ni shida
 
kwenye visimbusi vya ting na startimes ndio selikari ilisema ni lazima station tano za hapa ziwemo kama unakumbuka kipindi kile startv walipotaka kujitoa nini kiliwakuta?ila kwa hawa warusha matangazo wengine kama zuku azam tv,dstv na wengine ni lazima waingie kwenye makubaliano binafsi na wazalishaji wa vipindi hivyo kama itv,startv,chanel ten clouds,.Inavyoonekana hawa nao wana visimbusi vyao ndio maana wanakuwa wagumu kuwapa haki hizo wengine na hakuna sheria ya kuwalazimisha,ndio maana huko kwingine hata kuziona hizo local chanels lazima uzilipie tofauti na kwenye ting na startimes.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom