Mzee wa "Fresh Prince of Bel air" afariki.

Mzee wa "Fresh Prince of Bel air" afariki.

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,599
Reaction score
1,801
Amefariki na umri wa miaka 69 alikuwa akisumbuliwa na matatizo ya Moyo. Ni yule aliyekuwa akiigiza kama mjomba wake na Will Smith. R.I.P.
 
R.i.p ila fresh tu,poa sana hamna noma wala nini
 
Moja ya vipindi vichache vilivyokuwa vinanifanya niwe karibu na TV.
Pole kwa wafiwa

R.I.P. Uncle Phil
 
Back
Top Bottom