kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,633
- 7,021
Mnapiga sebene kiwango duni halafu mnategemea washiriki wacheze vizuri?Hivi msipoharibu huwa hamjisikii raha?Halafu acheni kucheza wimbo mmoja mnaharibu sana kipindi na halafu kwa nini msiruhusu washiriki wenu wachague nyimbo za kucheza?Nafuatilia kipindi lakini mmetuudhi sie watazamaji.
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums