Beyonce new album nw i believe she is full masonic member

Beyonce new album nw i believe she is full masonic member

Meek Mill

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2013
Posts
749
Reaction score
842
In just three days, “Beyonce” sold more than 617,000 Pitia hapo www.Daily news.com .SASA hichi kitu kimenishangaza sana Mpaka nika Amua kuweka huu Uzi hapa.najiuliza after one month itakuwa kauza Copy ngapi??
Najiulize haya maswali..
1) Beyonce alikuwa kimnya takribani Mwaka mzima How comes for three day ana sell all those copy..
2) Kingine ukisikiliza nyimbo yake kafanya na jay z kuna sound like hazi eleweki hivi behind Bet..

kinacho Nishangaza ni those above things....

​
 
Mh labda mashabiki walimmiss..

Hilo la sound sijui..mana sijasikiliza albam yake
 
In just three days, “Beyonce” sold more than 617,000 Pitia hapo www.Daily news.com .SASA hichi kitu kimenishangaza sana Mpaka nika Amua kuweka huu Uzi hapa.najiuliza after one month itakuwa kauza Copy ngapi??
Najiulize haya maswali..
1) Beyonce alikuwa kimnya takribani Mwaka mzima How comes for three day ana sell all those copy..
2) Kingine ukisikiliza nyimbo yake kafanya na jay z kuna sound like hazi eleweki hivi behind Bet..

kinacho Nishangaza ni those above things....

​

so ikiwa sounds huzielewi ndio kuwa Masonic...!?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Upo sawa kbs pia niliona cbuka wanatafsiri drunk.....
wakiwa na jay z yani sign zote zimo nawashukuru sn cbuka coz hufumbua macho yetu
 
binadamu bana, yaan mtu akiwa successful tu ni mason!! Beyonce is a very good artist, ana awards rundo, kazi zake zinakubalika the new single na Jay imepokelewa kwa kishindo, sio ajabu hata kidogo kuuza album hizo n more actually.
#1 Hova fan
 
What you don't know is that whatever a masonic can do you can do it also,Mungu ndiye aliyetuumba na kutupa mauwezo yote hayo.Shetani hawezi kukuongezea hata chembe ya nguvu,hatujui password zetu na jamaa ndio anawapa watu hizo password kwa masharti.

That's the reality
 
Ila amechoka,ona ile song na jay z wake ''drunk in love'' aache tu hii fani kwani ameshazeeka
 
Hio dalili ya kwanza nimeipinga...Beyonce ni msanii anayejulikana sana kwa hivyo akiweka nyimbo kwa iTunes itanunuliwa kwa haraka. Halafu kumbuka si nchi ya Marekani ndio watanunua nyimbo zake pekee bali ni dunia nzima. Si Beyonce anayeweza kuuza nyimbo nyingi kwa muda mfupi pekee, nakumbuka Lady Gaga pia aliweza kuifanya iTunes kulemaa kwa siku nzima baada ya yeye kurelease albam yake lakini siikumbuki jina. Labda useme nyimbo zenyewe ndizo zinaashiria kuwa Beyonce ni Illuminati...kuna tukio la juzi alilolifanya ambalo laweza kuashiria ni mmasonic baada ya yeye kujiingiza katika picha ya chakula cha mwisho cha Yesu. Cheki hio stori hapa>>> Beyonce Ajiingiza Katika Chakula Cha Mwisho Cha Yesu, Amesisimua Mtandao - bkuHABARI . Lakini dalili ya kuwa kuuza nyimbo nyingi kwa muda mfupi hapo ntakupinga
 
  • Thanks
Reactions: BAK
binadamu bana, yaan mtu
akiwa successful tu ni mason!! Beyonce is a very good artist, ana
awards rundo, kazi zake zinakubalika the new single na Jay imepokelewa
kwa kishindo, sio ajabu hata kidogo kuuza album hizo n more actually.
#1 Hova fan
ww unawatetea jay z alishakubali kwa kinywa chake yeye ni freemason na kazaa mtoto kamwita blue ivy kwa kiyunani anamaanisha bint wa lusifa kule kaka hawana unafiki kama wakina freemason wenu akina mengi wanajifichaficha
 
Kaka watu wanacheza game hao, they want to be succesfull na majina yao yasisahaulike kwa watu ili kazi zao ziuzike. We unafkiri mambo anayofanya lets say Miley Cyrus or lady Gaga chanzo ni nini!!? Anajua akiweka mbuzi in one of his videos mtamjadili (like wat we're doing now) na kazi yake itasambaa!! Mason ni secrete society hio inaoperate chini kwa chini within the governments and other powers. Wasanii wanasaka maslahi yao tu, eti Diamond nae wanasema kajiunga na masons, really? haha please. Jay Z ni one of my best rappers kazi zake ni nzuri na ni mchapakazi sana ukifatilia life story yake alikua muuza unga 2 mtaani na amepitia mengi sana mpaka kufika alipo! Acheni mambo yenu ya masons hayo watu wanachaapa kazi
 
inaweza akawa ni masonic ila hoja ulizoleta hazina mashiko
 
Its now more than1millions copy , hapo hapo ametoa na documentary ya maisha yake. It was a big surprize maana hakuna media yeyote iliyokuwa inajua. Katangaza siku moja na kutoa album the same day. No wonder huyu dada ana nguvu zaidi ya binadam...
 
wabongo muda mwingine huwa tunakuwa wajinga..wengi wetu tunashindwa kufanya swala dogo tu la targeting.kumbuka ile ni kazi ya Beyonce na wale wanafanya music kwa real sense sio kwa kubahatisha au kukurupuka wanampaka consultants wa muda upi?? afanye show wap?? usifikiri wazungu huwa wanapenda scandal kila siku ila zile huwa zinachota umakini wa watu juu ya mtu husika.kanye west alitoa album baada ya kim kujifungua and with in a shot period akashika namba moja kwenye chat za billboards.mdada kaangalia muda upi ajifyatulie album nyie mnasema Freemason
 
There r othr reasonz whch shows that beyonce n jay z r masonic memberz try to fnd out
 
Music analysts hawakutegemea kama album ambayo hata moja ya single yake haikuwa promoted ingeweza kufanya vizuri kiasi hicho katika mauzo. Binadamu wengine Mungu akishakuandikia ndiyo basi itakuwa NDIYO tu 96% ouf of 100% sasa subiri waigizaji wa kutaka kumuiga Beyoncé na wao kutoa albums zao bila kupromote hata single moja.

Its now more than1millions copy , hapo hapo ametoa na documentary ya maisha yake. It was a big surprize maana hakuna media yeyote iliyokuwa inajua. Katangaza siku moja na kutoa album the same day. No wonder huyu dada ana nguvu zaidi ya binadam...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom