WIVU WAKIJINGA WA TBC Vs ITV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WIVU WAKIJINGA WA TBC Vs ITV

Discussion in 'Entertainment' started by Troo, Mar 7, 2012.

 1. Troo

  Troo Member

  #1
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Ikiitwa TVT enzi hzo!!!!.....Ulijitokeza Wivu wa Kijinga wa kuona ITV ina Watazamaji wengi....Serikali ikastopisha
  Tamthiliya ya THE PASSION kulinda tamaduni ya Mtanzania..kiukweli THE PASSION haikuwa na picha chafu kiasi hicho...
  Baada ya ITV kustopisha matangazo ya SERIES hyo ITV wakazama CHIMBO wakaja na La MUJER..wao TVT wakaiga wakaja na Series yao ilikuwa na UCHAFU LIVE njenje Denda Million 8....Ahhh Fresh ikawa kawaida mtu kunyonywa mate ruksa...
  ITV wakaendelea na mambo yao! sitaki kugusia mgogoro wa Ze comedy ambao mpaka leo CHANNEL 5 ndio wanaonekana wapo juu(CREATIVITY za SEGMENT zao) utagundua hilo kama siMNAZI...Tukija ktk Mpira wa mguu ITV walikuwa wanatuletea matangazo mengi LIVE ya CHAMPIONS LEAGUE kupitia CFI na AFCON...TBC wakajitia kimbelembele kuhozi matangazo hayo na kuwabania ITV....kiukweli ukiangalia Tamthiliya zinazobamba ALLTIME ni za ITV....
  BORA KUWA NA +ve WIVU na sio -ve WIVU Kama wa TBC...Au wadau nakosea ktk hili..No 1 is PERFECT..Unalionaje hili.
   
 2. BornTown

  BornTown JF-Expert Member

  #2
  Mar 7, 2012
  Joined: May 7, 2008
  Messages: 1,716
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  kwani hujui kirefu cha TBC = Television Broadcust CCM
   
 3. Troo

  Troo Member

  #3
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 6, 2012
  Messages: 41
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 15
  Daaaah Heheheh NaiEnjoY kinoma hapa JF(kwa nn sikujiunga mapema) mhhh nyinyi wa2 siwawezi!!!!! daah kila k2 humu ts Funnnnny
  Ulifikiria nn wew!!!! hk kirefu sina mbavu!!!!
   
 4. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #4
  Mar 7, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  kwa sababu ulikuwa hutaki kuenjoy!
   
 5. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #5
  Mar 12, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  kifupi ni kwamba tbc haiwezi kupambana na itv,tbc ukiwa unafatilia tamthilia utachoka yani inarudiwa kila siku bila excuse yan inaniboa kichizi
   
 6. yahoo

  yahoo JF-Expert Member

  #6
  Mar 24, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 3,424
  Likes Received: 363
  Trophy Points: 180
  ITV is very creative,mambo mazuri yote yameanzia kwao na wengine kuiga.ie comedy,maigizo,bongo star seach,watoto,vipindi vya sanaa na burudani.kinachonifurahsh zaidi wanatwanga nyimbo zozote bila kujali ustaa , pesa au zilitnka lini..
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Mar 24, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Pole sana kaka...
   
 8. S

  STEPHEN JIBE Member

  #8
  Dec 22, 2013
  Joined: Jan 23, 2013
  Messages: 62
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Halafu wanachukua matangazo wanashndwa kumudu mfano ktendo cha kuatsha matangazo ya mpira kat ya tz na moroko ili 2one ujio wa rais xi jimping wa chna,kwa ufupi ni wakorofi
   
 9. Aadilu

  Aadilu JF-Expert Member

  #9
  Dec 22, 2013
  Joined: Mar 20, 2013
  Messages: 631
  Likes Received: 146
  Trophy Points: 60
  Sio wivu huo ni ushindani wa kibiashara. Mwalimu wangu wa sanaa shule ya msingi aliwahi kuniambia. 'katika sanaa kuiga inaruhusiwa ila usikopi'
   
 10. roz kazungu

  roz kazungu Member

  #10
  Dec 29, 2013
  Joined: Sep 18, 2013
  Messages: 87
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mmmh no comment hapo but mm toka nijitambue nilikua mawatch bishanga bashaija ITV,mankoy ITV even mazishi ya nyerere toka nipo darasa la 2
   
 11. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #11
  Dec 29, 2013
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,177
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  ITV wapo juu kwa kwa vifaa kuliko TBC1 japokuwa tuliaminishwa kuwa TBC1 walinunuliwa vifaa original kutoka Sony Corp lakini ulikuwa ni wizi tu.
   
 12. r

  rodgers kassiki Member

  #12
  Dec 29, 2013
  Joined: Dec 29, 2013
  Messages: 28
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  TBC,niwazee wa kucopy,si wabunifu kabisa wanakula kodi zetu bure kabisa?
   
 13. Baba Kapompo

  Baba Kapompo JF-Expert Member

  #13
  Dec 30, 2013
  Joined: Sep 11, 2013
  Messages: 1,276
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  ITV YA TAIFA TBC FAMBA TUU TBC vilaza
   
 14. L

  Lameck nestar Member

  #14
  Dec 30, 2013
  Joined: Dec 21, 2013
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni lazima tufike mahali tukubar kwamba institution yoyote inayomilikiwa na government huwez kulinganisha private institution like Vodacom and TTCL, bas hvyohvyo Hata kwel hzo televisions mambo ni Yale Yale ....
   
 15. m

  mahakama ya kazi JF-Expert Member

  #15
  Jan 3, 2014
  Joined: Feb 20, 2013
  Messages: 1,469
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  tbc kama angeendelea nayo tido ilikuwa fulu shangwe
   
Loading...