Kwa wanaofatilia series ya LOST

Kwa wanaofatilia series ya LOST

gebu

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
402
Reaction score
246
Wana jukwaa habari zenu?kwa wafuatiliaji wa hii series nimefika season.ya nne cjaielewa kabisa.ufafanuzii plz maana mara waonyeshe vitu vilivyopita,mara vijavyo
 
Ukifika six utaelewa tu, ila ulipaswa kuilewa from season 3 aisee.
 
Hiyo kama ni mgeni wa kuangalia movies huwezi kuielewa.
 
wakuu nimewapata vilivyo itabidi nikae vzr niifatilie neno kwa neno..namkubali sanaa benjamin linus
 
Kijana he he he kama umefika hukombali na hujaelewa basi anza upya aisee maana by the time unaangalia season 3 inabidi uwe ushaelewa nn kinaendelea
 
Namkubal sana huyu jamaa
 
Attachments

  • 1388422441429.jpg
    1388422441429.jpg
    16.3 KB · Views: 153
haha nilifika seas 4 nikaona upuuz 2, hiyo series ilitakiwa iishe bac 2 wanang'ang'aniza extra profit. Seas 4 ndo ilikua mwisho kuangalia
 
Jaman hii series ni tamu balaaa,inakufanya uifatilie kwa makini sanaa
 
lost ni ya ukweli kwa watazamaji wazuri,nashindwa kuelewa mtu anayesema amefika season 6 na hajaelewa,au tatizo ni lugha,niliyonayo ina subtitle hivyo ni rahisi sana kuielewa.
 
Ni nzuri kama umeanzia mwanzo kuicheki. Na uelewe lugha,nakumbuka mi nilianzia season 2,skuelewa,lkn nilpo tafta season zote,ndio ikawa mzukaa
 
MKUU LOST NI SERIES YA KUTUMIA AKILI NYINGI SANA KUIANGALIA,ukiiweza hii hakuna SERIES itayokusumbua. BENJAMIN is among of best tv character(series character) of all time.. all time. he is no 27 out of 100. LOST yenyewe is one of 100 tv series of all time. yani kwenye hiyo list hakuna cha prison break, merlin, 24 wala cha nini.
 
Back
Top Bottom