Wadau wa kujirusha nataka kujua Club nzuri ya kula bata hapa dar.
1. Maisha Club
2. BillCana Club
3. Club 71
4. Coco Beach
5. Runway
Au zipi?
Nipeni mtonyo
(Kiswahili cha jirani...uelewe tu...)
Wanawake to ndio wenye...
1. Atakua na simu kwa nyumba kidogo kidogo anakuambia umbeep ju hajui ameweka wapi!!
Tuhurumie Baba
2. Ako na furushi la...
Nimeshuhudia mara kadhaa,wimbo wake wa TUPOGO,popote unapopigwa basi kama watu hawasimami kuucheza,utaona hata wenye aibu wanatingisha mabega au kugongagonga miguu,ni wimbo huko juu,kuanzia...
Naangalia TV Imaan. Wa nazungumza Kiswahili muruwa, nimpenda!
ila nimegutushwa, Hawa watangazaji wamekaliwa mkeka, nikaanza kuwaza hivi nikienda pale Kwa mahojiano, intanibidi nijikunje kwenye...
Jamani waungwana, kama kuna mtu anaweza kunipatia hii album ya huyu jamaa,
ni moja ya album za watanzania nilizozihusudu sana, ilikuwa na nyimbo kama
: wasiwasi, ndani ya Love, buzi, etc kama kuna...
Ni mara yangu ya kwanza kuwa janvini,
Nafundisha muziki baada ya saa za kazi. Nafundisha nadharia na vitendo.
Nafundisha ala zifuatazo; piano, guitar, saxaphone...bei ni maelewano ingawa...
Prof Jay aamua kubadilisha msimamo wake wa kumuona Ruge Mutahaba kam ni kikwazo cha kukua na mnyonyaji wa music wa BongoFlavor
Baada ya Prof Jay kutoa nyimbo ya 'kipi sijakisikia' miezi miwili...
bofia liki hii ujue ulikopangwa.
Hii Wiki jijini Mwanza: (BREAK NEWS) - MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA 2014 MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA PILI NA VIKOSI WALIVYOPANGIWA
VIJANA WOTE AMBAO WAMEMALIZA...
Ninauliza hili kwa kuangalia muziki hasa wa hao waNigeria tunaowakodi wao waliunyanyua muziki wao wenyewe mfano tangu enzi za kina Fela Kuti mpaka vijana wa sasa. Hii trend ya kuwatumia naona ni...
Bandugu,ile likizo yangu ya mwaka ndo imefika. Hii ni likizo ya kwanza ya muda mrefu kuwah kupata...baada ya kufanya kazi kwa kujituma kujenga taifa letu nataka nile good tym to the fullest
Facts...
Hawa jamaa sijui wana matatizo gani..juzi kati walikua na kipindi/shindano la kumtafuta mtu mwenye wazo la kibiashara na mshindi angepewa milioni kumi,wafadhili walikua ni Nssf,shindano...
yeeees..ni yuleyule tena mkali wa wakali, sukari ya warembo hasa masuperstar wetu wa kike,yule anayejiita raisi wa wasafi, yuleyule ambae ana make headline kila koona ya Tz na Africa kwa...
natamani kumuona huyu kiumbe akipaform live
hapa mujini anapigaga wapi wikiend hiii
alafu baada ya kurudi kaingia bendi gani
KUMBE WEWE NI MUSALITI UMEZOEA KUONJA ONJA KWA KILA MUTU ETI...
Wadau, wale wenyekuitaji dvd za movie mpya na zazamani kwa ajili ya biashara ,zinapatikana kwa bei ya jumla, kama ni muhitaji plz ni Pm tufanye biashara
Jaman naomba mwenye wimbo wa Michael learns"complicated heart" aniwekee link hapa. Na kundi gani lilikuwa kali kipndi hicho? Kat ya " kool and the gang, air suply, commodores, Bee gees, atrantic...