Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

mbo umejaa matusi ya nguoni na KISS FM wanaupiga kila siku
0 Reactions
27 Replies
5K Views
(Kiswahili cha jirani...uelewe tu...) Wanawake to ndio wenye... 1. Atakua na simu kwa nyumba kidogo kidogo anakuambia umbeep ju hajui ameweka wapi!! Tuhurumie Baba 2. Ako na furushi la...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Nimeshuhudia mara kadhaa,wimbo wake wa TUPOGO,popote unapopigwa basi kama watu hawasimami kuucheza,utaona hata wenye aibu wanatingisha mabega au kugongagonga miguu,ni wimbo huko juu,kuanzia...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Naangalia TV Imaan. Wa nazungumza Kiswahili muruwa, nimpenda! ila nimegutushwa, Hawa watangazaji wamekaliwa mkeka, nikaanza kuwaza hivi nikienda pale Kwa mahojiano, intanibidi nijikunje kwenye...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Jamani waungwana, kama kuna mtu anaweza kunipatia hii album ya huyu jamaa, ni moja ya album za watanzania nilizozihusudu sana, ilikuwa na nyimbo kama : wasiwasi, ndani ya Love, buzi, etc kama kuna...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Ni mara yangu ya kwanza kuwa janvini, Nafundisha muziki baada ya saa za kazi. Nafundisha nadharia na vitendo. Nafundisha ala zifuatazo; piano, guitar, saxaphone...bei ni maelewano ingawa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Prof Jay aamua kubadilisha msimamo wake wa kumuona Ruge Mutahaba kam ni kikwazo cha kukua na mnyonyaji wa music wa BongoFlavor Baada ya Prof Jay kutoa nyimbo ya 'kipi sijakisikia' miezi miwili...
0 Reactions
39 Replies
5K Views
bofia liki hii ujue ulikopangwa. Hii Wiki jijini Mwanza: (BREAK NEWS) - MAJINA YA VIJANA KIDATO CHA SITA 2014 MUJIBU WA SHERIA AWAMU YA PILI NA VIKOSI WALIVYOPANGIWA VIJANA WOTE AMBAO WAMEMALIZA...
0 Reactions
0 Replies
7K Views
Ninauliza hili kwa kuangalia muziki hasa wa hao waNigeria tunaowakodi wao waliunyanyua muziki wao wenyewe mfano tangu enzi za kina Fela Kuti mpaka vijana wa sasa. Hii trend ya kuwatumia naona ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bandugu,ile likizo yangu ya mwaka ndo imefika. Hii ni likizo ya kwanza ya muda mrefu kuwah kupata...baada ya kufanya kazi kwa kujituma kujenga taifa letu nataka nile good tym to the fullest Facts...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hawa jamaa sijui wana matatizo gani..juzi kati walikua na kipindi/shindano la kumtafuta mtu mwenye wazo la kibiashara na mshindi angepewa milioni kumi,wafadhili walikua ni Nssf,shindano...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
yeeees..ni yuleyule tena mkali wa wakali, sukari ya warembo hasa masuperstar wetu wa kike,yule anayejiita raisi wa wasafi, yuleyule ambae ana make headline kila koona ya Tz na Africa kwa...
1 Reactions
6 Replies
5K Views
Kwa maelezo zaidi ingia katika link hii.:high5::high5: Hii Wiki jijini Mwanza: Pata Wimbo katika Mahadhi ya Kisukuma wa BOB HAISA - BHATOJA.
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Sasa ni mabaibui na madera tu, mkivaa mini skirt, sijui tights sisi na wewe. #MosKwito !
2 Reactions
41 Replies
5K Views
natamani kumuona huyu kiumbe akipaform live hapa mujini anapigaga wapi wikiend hiii alafu baada ya kurudi kaingia bendi gani KUMBE WEWE NI MUSALITI UMEZOEA KUONJA ONJA KWA KILA MUTU ETI...
0 Reactions
15 Replies
4K Views
Wadau, wale wenyekuitaji dvd za movie mpya na zazamani kwa ajili ya biashara ,zinapatikana kwa bei ya jumla, kama ni muhitaji plz ni Pm tufanye biashara
0 Reactions
1 Replies
2K Views
yaani mtu anaigiza kipofu afu anasimama mbele ya kioo kujiangalia!!!
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Huu wimbo nime ureplay mpaka simu ikashangaa Big up ali k unachua kuchange na muziki http://dartalk.com/music-alikiba-rosa/
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Jaman naomba mwenye wimbo wa Michael learns"complicated heart" aniwekee link hapa. Na kundi gani lilikuwa kali kipndi hicho? Kat ya " kool and the gang, air suply, commodores, Bee gees, atrantic...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nyimbo hz hapa ya kwanza inaimbwa hv """mpenzi wangu samahani """makosa nimekosa mimi """naomba unisamee angali bado niko hai Ya pili inaimbwa hv """"sina demu kama...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom