BM MJUKUU
Member
- Nov 30, 2013
- 33
- 3
Msanii kutoka Rock City,Mwanza 'Malale' ameachia wimbo wake mpya 'Kampeni Za Kahawa' akimshirikisha Bob Haisa kutoka Mwanza pia.Mtayarishaji wa wimbo huu ni King Fenya kutoka Mbunda Records.Usikilize na Download hapaMashaka Kisusi: Malale ft. Bob Haisa - Kampeni Za Kahawa (Audio)