Mnao fahamu mziki wa bongo hii linawahusu

jorojo

JF-Expert Member
Mar 29, 2012
1,642
11
poleni na majukumu ya kimaendeleo nnapata shida sana katika hili ebu na nyie mnipe ufahamu wenu basi kwa anayejua lkn naomba uniorozeshee wasanii wa kumi wa kwanza kurikodi muziki wa kizazi kipya(bongo fleva&hip hop)
 

Hili si shombo ya jana tu nani analijuwa, wakati Saleh Jabir anarap kwa style ya akina Ice Vanilla sidhani kama hilo shombo lako lilikuwa limeshazaliwa. Vichwa vya kutajwa hapa ni akina Sugu, Kwanza Unit etc
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom