Tamasha la inter college edutainment day 2014
national institute of transport
day and night event
activities of the day
blood donation
health checking
sports bonanza
night activities
theartical...
Tamasha la inter college edutainment day 2014
national institute of transport
day and night event
activities of the day
blood donation
health checking
sports bonanza
night activities...
'Humolaga Mayu' ni neno la lugha ya kisukuma lenye maana ya 'Nyamaza Mama' kwa hiyo katika video hii bob Haisa anaonekana akimubembeleza mwanamke aliyepo katika Majonzi.Bonyeza hapaBob Haisa...
Wana members. naomba kujua kutoka kwenu filam zinazofaaa kwa watoto katika familia
Tafadhali taja uzijuazo ili tukuze familia zenye maadili na utashi wa kufikilia positively sio hizi filam za...
Wakuu,
Jana Naibu waziri wa utamaduni na Michezo Bwana Nkamia alitumia muda kidogo kuelezea ni jinsi gani sisi wa Tanzania Kiswahili kinatutoa kuliko
Wenzetu wa Africa.
Natoa Mfano mdogo sana...
Wasalaam, nianze kwa kusema tu kwamba nyimbo za huyu mtumishi hunibariki sana pindi nizisikilizapo. Najua ametoa albam nyingine baada ya kuachia YEHOVA YU HAI, lakini katika pita pita zangu kwa...
habari za leo wanajamvi!
wakati nakuwa nilitokea kuzipenda mno hizi tamthiliya mbili ambazo zilikuwa zikioneshwa itv. Kwa bahati mbaya zilikatishwa kuoneshwa njiani na kwa muda ule nisingeweza...
wana jf msaada jaman naitaji wimbo wa abduli misambano asumin maana nimejaribu kuudownload cjaupata plz mwenye nao anaweza kunipa kupitia whatsapp no 0689439271 asanteni!
Kwenye mitandao ya kijamii nimeiona hii YOU TUBE akielezea dhana ya hiyo nyimbo 'Staki Kazi': http://t.co/Y9xMpo4CTr nimemuelewa sana.
Najiuliza uyu dogo si nasikiaa ana Masters alafu hataki...
Hili ni kundi la mziki wa Hip Hop, likijumuisha wasanii kutoka Arusha Joh Makini, Nikki wa II, G Nako, Bonta na Lord Eyes ( amesimamishwa kwa muda). Ni kundi ambalo kwa sasa liko juu sana hasa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.