Ofa Kurekodi Video ya Nyimbo BURE

Ofa Kurekodi Video ya Nyimbo BURE

Na nyie ubora wa video zenu upo vip? Ni vyema ungetupia kazi zenu mzilizowahi kufanya.
 
itakuwa ni vyema tukaona kazi mojawapo mlizofanya ili tujumuike kwenu
 
nahisi hawajafanya.. wanetoa offer ili kufanya jaribio lao.

Aiseeeee! Sasa kumbe wanataka kufanya majaribio kwa nyimbo za watu na wakati vijana wapo serious na kazi zao even though stil underground, kwa hali hii wategemee kupata wasanii vichwa maji na sio wanaojitambua.
 
Back
Top Bottom