Binafsi sio mpenzi wa filamu za kiswahili hasa kutoka Bongo movie,Nimebahatika kuitaza filamu hii ya kigodoro-kantangaze na kunifanya niamini ni moja kati ya filamu bora kabisa za kitanzania kuwai...
ni mtanzania anayeishi USA,,,
asee dada Ana wimbo unaitwa tanzanite,,kiukweli sijaona wimbo mkali wa rnb kwa upande wa wanawake mwaka huu duniani kote,,,I'm sure na ninachokisema,naujua muziki...
Habari wana Jamii Forums,.
Tafadhali naomba kufahamishwa kwa anayefahamu.
Wimbo ambao upo katika background ya kipindi cha Diva The Boss Clouds Fm,.
Na jina la wimbo tafadhali.
Baada ya kimya cha Ally Kiba sasa Mtu na mdogo wake wakizifuata nyayo za Peter & Paul ama P Square, wameachia wimbo wao mpya 'Pita Mbele' kama kundi wakijiita 'Kiba Square...
Kilichofanyika humo...
wadau naobeni msaada wa link yoyote ambayo nitakuwa napakulia series mbali mbali, kama vile 24hrs naikosa kwa kuwa sina lik, au kwa msaada zaid naombeni program yoyote ambayo nikiipata na nika...
Mimi ni mtazamaji mzuri wa startv hasa saa za mchana. Kinachoniudhi
ni mtindo uliozuka hivi karibuni wa kurudiarudia vipindi fulani ambavyo havina
umuhimu wa kurudiwa kila siku.Vipindi hivyo ni...
Mimi sio mfuatiliaji sana wa miziki ya kileo, lakini kuna nyimbo mbili zimetokea kunigusa sana ktk maudhui, uimbaji, na upigaji wa vyombo. Nyimbo hizo mbili ukizisikiliza utajua kuwa mtunzi na...
wadau kuna hivi vyombo viwili vinavyousika na wasanii waigizaji ambavyo ni Bongo Movie na Shirikisho la filamu. ningependa kujua vyombo hivi viwili vina utofauti upi?
Mkali wa miondoko ya RnB kutoka Rock City,Mwanza 'Future Jnl' amerudi tena kwenye spika zako na single moja hatari "Crazy" akiwa peke yake kuonyesha zaidi uwezo wake katika muziki. Hebu chukua...
Nimeangalia movies na Tv series nyingi japo sio sana ila nimegundua kuwa Africa kuna location nyingi sana za kufanyia movies, hata stories na matukio yanayotokea na yaliyowahi kutokea nchi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.