Wimbo gani umekukaa kichwani leo?

Wimbo gani umekukaa kichwani leo?

leroy

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2010
Posts
1,622
Reaction score
2,225
Wapenzi wa Muziki,

Nyimbo gani Imewakaa kichwani leo, na kwanini?

Mimi leo tangu niamke, nausikilizia, "Habibi ya nour el ain, by Amr Diab....
 
Mimi wimbo wa injili (Niguse) wa Glorious Celebration.
 
"Shuka bwana shuka,shuka bwana,,,,,,,,unisikie bwana,kulia kwangu,unitazame bwana kwa macho yako,unyoshe mkono wako na uniguse,,hima bwana shuka niokoe!!!
 
Banchikicha, banchikicha chikicha chikicha.

Nalikwenda Dar es salaama
Nikala Wali kwa nyama
Tonge ya kwanza ikanizama
Tonge ya pili ikanikwama.....

Nlikuwa namuimbia ma baby girl
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom