New Music : Future Jnl - Crazy

New Music : Future Jnl - Crazy

BM MJUKUU

Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
33
Reaction score
3
future jnl.jpg Mkali wa miondoko ya RnB kutoka Rock City,Mwanza 'Future Jnl' amerudi tena kwenye spika zako na single moja hatari "Crazy" akiwa peke yake kuonyesha zaidi uwezo wake katika muziki. Hebu chukua dakika zako kadhaa kumsikiliza na tupitia comment yako hapaMashaka Kisusi: Future Jnl - Crazy (Audio)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom