Magnificient
JF-Expert Member
- Aug 8, 2013
- 1,177
- 734
Habari jamani! Ni miaka sasa bongo yetu imekuwa ikitembelewa na watu maarufu sana duniani wakiwemo wanasiasa, wasanii, wanamichezo n.k kupitia udhamini wa watu,makampuni na mashirika mbalimbali.
Hoja yangu leo ni kuhitaji aletwe lil wayne na eminem, au ikishindikana basi hata mmoja kati yao.
Nina imani watatusaidia sana kupata uhondo mkubwa na kufungua channel zingine na kupaisha nchi yetu.