New Music : Bob Haisa - Lamsondo

New Music : Bob Haisa - Lamsondo

BM MJUKUU

Member
Joined
Nov 30, 2013
Posts
33
Reaction score
3
Bob Haisa..jpg
Mwanamuziki kutoka Rock City,Mwanza 'Bob Haisa' ameachia ngoma yake mpya yenye mahadhi ya Chakacha inayoitwa 'Lamsondo'."hii ni ngoma fulani hivi ambayo inanikumbusha uimbaji wa miondoko ya kipwanipwani ambao naupendaga sana".Alisema Bob Haisa wakati akiongea na blog hii.
Pia aliongeza kuwa huu ni mwendelezo wake wa kuachia ngoma mpya kwa kila mwezi.
Ngoma hii imetengenezwa na King Fenya kutoka Mbunda Records Isikilize na Download hapaMashaka Kisusi: Bob Haisa - Lamsondo (Audio)
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom