mhalisi
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 1,181
- 322
Hapo Chidi Benz akiwa kashikiwa bangi na Shabiki wake na kutoa kibiriti cha gesina kuiwasha kama unavyoona hapo
Chini benz Jana Jumapili wakati anafanya show New maisha Club Dodoma alifanya kitendo ambacho baadhi ya mashabiki walimwona kweli jamaa sasa ameshaanza kuwa chizi.
Wakati akiwa anafanya Show baada ya mzuka kumpanda Chid alichafua hali ya hewa baada ya kuzama mfukoni na kutoka Bonge la kipisi cha Bangi kilichoshiba na kukiwasha pale pale jukwaani bila hata Uwoga...
Hapo ndipo Baunsa wa Maisha kabla akambadilikia kama Mbogo na kumpora hiyo bangi ili asiendelee kuivuta. Kitendo hicho cha kuvuta bangi Club kimeshushia heshima Msanii huyo ambaye ni kioo cha Jamii.