Nyimbo ya NGOLOLO ya diamond imeshafubaa.., aachie mali mpya sokoni!!

FRANCIS DA DON

JF-Expert Member
Sep 4, 2013
36,426
41,378
Ye anabweteka tu my number 1 ..my number 1.., lijimbo limeshapauka hilo em' achia vitu vipya wewe.., EBO!
Em' ona wenzaka wanavyofanya wewe...!

 
Last edited by a moderator:
Then show me how you do Ngololo Ngololo...... ngoja kwanza JK Amalize kumuunganishia
 
Kutoa wimbo kila mwezi kama Izzo Bizness sio sifa,kutoa wimbo kila mwezi ni woga wa kufuria.Diamond now yuko bize na collabo za Iyanya na Mafikizolo
 
Mmeona alivyo perform mama awards...???

Amefanya kweli alishambulia jukwaaa ni noumaaa.

Pongezi kwake.
 
Back
Top Bottom