Price
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 1,502
- 922
Umekuja na machozi yakunilizaliza kazi siwezi
Umejificha kwenye mapenzi unavyoumizaumiza moyo na maradhi.....
Maumivu niacheee..... maisha mapya ya furaha nianze
Maumivu niacheee......... na mimi nahitaji nafuu nipate...
Nilijificha kwenye mapenzi uliponikuta ukanitoa na machoziii
Ukanipora na furaha, ukanipa upweke kupenda siwezi
Naukubali sana huu wimbo....!!! Big up artist.... i don know how to write your name
cc: miss chagga amu miss neddy...
============================== ===

Last edited by a moderator: