Nachukua nafas hii kuwaomba watanzania wote tuweke tofauti zetu na kumuombea DIAMOND PLATNUMZ apate tuzo usiku huu ya MTV
Show inaanza saa ngapi na channel gani? For the first time i voted like 20 times. All the best sugarboy!
cc heaven on desert
Bongo yako ndo imeishia hapo,huwez jikwamua tena
Nachukua nafas hii kuwaomba watanzania wote tuweke tofauti zetu na kumuombea DIAMOND PLATNUMZ apate tuzo usiku huu ya MTV
Saa tatu usiku,dstv
Nachukua nafas hii kuwaomba watanzania wote tuweke tofauti zetu na kumuombea DIAMOND PLATNUMZ apate tuzo usiku huu ya MTV
tuzo kachukua davido