Msaada: Chuo cha muziki/bendi

Msaada: Chuo cha muziki/bendi

bonna

JF-Expert Member
Joined
Jun 13, 2011
Posts
855
Reaction score
520
Hi,habari zenu ndugu zangu,
Naomba kwa mwenye ufahamu anisaidie...ninataka kuwa kwenye bendi ya muziki....bendi kama zile za msondo,the spirit ya vitalis maembe..nadhani utakua umepata picha...ila bado sijapata contact zitakazoniwezesha kufikia lengo hili...sasa hivi naweza kupiga gitaa(galaton) na ngoma..Ok...najua kuimba pia hahahaha kidogo lakini.
Au
Naomba mwenye ufahamu na shule/chuo chochote cha muziki dar anijulishe pia...ili nikaanze chuo (nisomee kupiga kinanda)halafu nianzishe bendi kutoka huko najua ntapata members...
Sina lengo la kutafuta umaarufu wala wazo la kupata hela nimegundua tu ..nakua na raha sana nikiwa napiga muziki..napenda muziki sana.
 
Mkuu njoo bagamoyo kuna chuo cha sanaa (TASUBA) kinatoa mafunzo hayo vile vile itakua ni chance nzuri kukutana na wanafunzi wenzako na watu wengne wenye interest kama zako hivyo kutengeneza connection itakayofikia malengo yako!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom