move ya ndani ya hifadhi(mbuga ya wanyama)

move ya ndani ya hifadhi(mbuga ya wanyama)

ntamaholo

JF-Expert Member
Joined
Aug 30, 2011
Posts
12,956
Reaction score
7,002
Jamani usiku huu nimeangalia move moja, nimefarijika sana. Lkn sikupata jina la move. Lakini ni move lililorekodiwa mbuga za wanyama, ikihusisha game ranger, majangili, watalii na wenyeji. Wote walifarakana au walipoteana kwa sababu mbalimbali, move imeisha wote wamekutana. kila mtu amekutana na mwenzi wake au ndugu yake.

kwenye move kuna watoto wawili watundu sana, walipotezana ba baba yao wakaanza kutaftana.

Inaitwaje move hiyo? Nitaipataje? Kwenye Android yangu naweza idownload?
 
Back
Top Bottom