Ney wa mitego na kala jeremiah.

Ney wa mitego na kala jeremiah.

Nimeudownload leo aisee mashahiri yake ni full makavu
Ila nimeupenda pale alipooimba

"Kumbuka nyumbani ulikuja na ndala zako,
nikahaso mpaka jasho kununua pigo zako
Wengi walisema mimi sio level yako
Sababu ulikuwa mchafu nguo mpka mwili wako
Nikakupeleka saloon na bichwa lako
Ukaseti nywele ukapa rangi kucha zako
Nikakupa pigo kwendana shepu lako
Waliokuponda mwanzo wakakoma na swaga zako"

Haya makavu nimeyapenda sana
 
Back
Top Bottom