Kwaya gani iliimba wimbo wa " Hati ya Mashtaka"?

Kwaya gani iliimba wimbo wa " Hati ya Mashtaka"?

MNYISANZU

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2011
Posts
7,046
Reaction score
1,105
Wana JF, naomba yeyote anayeijua kwaya iliyoimba wimbo wa Hati ya Mashtaka anitajie hao waimbaji. Nautafuta huo wimbo sana. Ni wimbo wa siku nyingi. Ahsanteni
 
Kinondoni Revival Choir I think...
Ahsante. Ngoja niitafute. Unaweza kunitajia pia nyimbo zao zingine walizoimba pamoja na wimbo wa hati ya mashtaka?
 
Kwanini wataka kujiua... Sidhani kama utazipata kwenye internet hizi... Kuna mtu kaniambia kuwa wametoa album mpya inaitwa Mwanaume gani...I'm not sure though...

Nazipenda sana nyimbo zao. Ni kweli sizioni kwenye mtandao!
 
Check na maduka ya kanda, ya zamani lakini sio ya kisiku hizi, kama uko Dar basi fika kanisani kwao pale kinondoni. Nakumbuka home tulikuwa na VHS yao, ila sidhani kama bado ipo.
Nazipenda sana nyimbo zao. Ni kweli sizioni kwenye mtandao!
 
Mkuu ni kwaya ya Kinondoni Revival singers, Naipenda sana hiyo kanda japo ni ya zaman kidogo lakn sidhan kama bado zinapatikana madukani.
 
Ahsante. Ngoja niitafute. Unaweza kunitajia pia nyimbo zao zingine walizoimba pamoja na wimbo wa hati ya mashtaka?

moja ya popular hits zao za zamani sana iliitwa 'mchakamchaka'
 
Victory singers, ooh my God! walikuwa nomaaaa, mchakamchaka na hati iii hatiii, hati ya mashtaka bwana Yesu yu hai au mchakamchaka mkimbilie Yesux2 lazima utaipata, they clasicly recorded it.
 
Nilipata kujumuika na Victory singers mara mbili walipoitembelea nchi ya Kenya miaka ya 90s na hakika nyimbo zao zilinobariki sana. Cha kunishangaza ni jinsi walivyotoweka kutoka na nyimbo zao kupotea kabisa! Bado wapo tena?!
 
Nilipata kujumuika na Victory singers mara mbili walipoitembelea nchi ya Kenya miaka ya 90s na hakika nyimbo zao zilinibariki sana. Cha kunishangaza ni jinsi walivyotoweka na nyimbo zao kupotea kabisa! Bado wapo tena?!
 
Back
Top Bottom