Yeyote mwenye mixtape za John Dilinga

Yeyote mwenye mixtape za John Dilinga

pig man

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
292
Reaction score
319
Wadau hope mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku, kwa yeyote mwenye mixtape yeyote ya DJ JD tafadhali naomba aniwekee hapa. Jamaa ni mkali sana kwenye disco joking.

Nakumba kipindi cha miaka ya 1999 kwenda 2004 alikuwa akitoa mixtape zilikuwa zinaenda kwa jina la jd's explosions mixtapes.

Please kwa yeyote mwenye mixtape ya huyu jamaa aitupie hapa tujikumbushe kwa burudani maana hawa madj wa siku hizi hawana lolote kabisa.
 
Haya mi nimepita tu i hope wenye nazo watatupia za kutosha
 
Hakuna mwenye nayo jamani? Nimemskia hewani kuna jamaa anaitwa jaymoe wa dodoma airport kasema ana vipindi vingi vya DJ JD vya zamani kama yupo humu atupie.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom