Habari wana Jamvi
kuna nyimbo flani ya zamani nakumbuka tu mistari yake inambwa hv "mama mdogo ananitess njoo unichukue haraka" ila kwa sasa imetoka katika version mpya nadhani wameirudia...
Ilikuwa siku ya furaha kwake mtoto mzuri,mrembo aliye zaliwa ktk familia ya kimasikini,Bwana cris ilikumuonyesha kuwa mtoto wa kike mahali alipo penda hajakose Alikwenda na gari mbiliza kifahari...
Na Mwandishi Wetu
Afya ya Miss Tanzania 2006-07, Wema Isaac Sepetu ina tatizo, mwili wake umetoa majibu na daktari amethibitisha.
Uchunguzi umebaini kuwa Wema anasumbuliwa na ugonjwa unaoitwa...
Naomba mwenye huu wimbo aniwekee.Ni wimbo wa Zilipendwa lakini jina lake silijui ila baadhi ya mashairi yake ni kama ifuatavyo;
Kumbuka matesi uliyonipa kulala njaa na watoto mateso yako siwezi...
Anaanza "mimi ndo msanii pekee ninayefanya Hip Hop, wengine sijui wanafanya nini" anaendelea "namsaka mwanangu roma naona kapotea" anaenda mbali zaidi anasema "hivi lile goli kala alipatia?"...
Nafahamu kuwa radios stations zinatakiwa kuwalipa wanamuziki kwa kutumia kazi zao. Kwa hapa Tanzania nasikia haziwalipi kwa kigezo kuwa kucheza nyimbo zao ni kuwa-promote kwa hiyo ni faida kwa...
I have never asked or even debated with any business institution how they determine their prices of their commodities.The One man, One night, One show, is NOT for anybody below affordance...
1.Usiku kitandani nalimtafuta mpendwa wa nafsi yangu, nalimtafuta nisimpate.
2.Nikasema, haya, niondoke nizunguke mjini, ktk njia zake za viwanjani, nimtafute mpendwa wa nafsi.Nikamtafuta...
Ni siku chache toka kituo cha Televisheni cha Marekani BET kimtangaze Diamond kuwania tuzo za BET katika kipengele cha Best International Act: Africa ambapo Diamond alifanikiwa kuwa msanii pekee...
Wana JF, naomba yeyote anayeijua kwaya iliyoimba wimbo wa Hati ya Mashtaka anitajie hao waimbaji. Nautafuta huo wimbo sana. Ni wimbo wa siku nyingi. Ahsanteni
Msanii sheta ametoa video ya wimbo wake wa Kerewa.katika wimbo huo aliomshirikisha Diamond Platinumz na video yake kufanyika Afrika Kusini hakika wameitendea haki.
Wimbo mzuri sana na VIDEO...
"Mwenyezi Mungu muweza wa kila jambo ndiye aliyetupa fursa ya kuushuhudia Mwezi wake mtukufu wa Ramadhan, si kwa ujanja wetu Bali ni mapenzi yake tu. Nafungua kinywa changu kukiri na kusifu...
Mwaka 2010 kuna mchezo wa radio ulivuma sana uliitwa WAHAPAHA.Nautafua series zote kama kuna mtu anaweza upata au anajua namna ya kuupakua anijulishe plz.
KWA WIMBO HUU WALIO UTOA, WANASTAHILI KUASAMEHEWA KODI..( THEY HAVE TO BE EXMPTED FROM TAX )..JUST LISTEN
DOWNLOAD NA SIKILIZA WIMBO MPYA: KALA JEREMIAH FT NEY WA MITEGO & MO MUSIC -...
Wadau hope mnaendelea vizuri na majukumu ya kila siku, kwa yeyote mwenye mixtape yeyote ya DJ JD tafadhali naomba aniwekee hapa. Jamaa ni mkali sana kwenye disco joking.
Nakumba kipindi cha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.