New track I SEE ME by Joh Makini

New track I SEE ME by Joh Makini

gnako anajua sana kuimba chorus ngumu anazitendea haki

Kipindi wakati yupo juma nature kwa kila hit chorus nilikuwa najiuliza asipokuwepo nani ata Fanya chorus Kali za hiphop? Ila G nako anazipati sana huwa ananifanya hata kupeleka nyimbo mbele nipate Ladha yake kwanza afu ndo niisikilize yote
 
Wasani wa bongo fleva sijui ni nini jamaa..maana wana vipaji wanatoa ngoma kali..lkn kwanini wanabaki maskini tu.. Inaniuma kweli..
 
Wasani wa bongo fleva sijui ni nini jamaa..maana wana vipaji wanatoa ngoma kali..lkn kwanini wanabaki maskini tu.. Inaniuma kweli..

wanaishia tz tu, wakijitahd sana kenya na uganda,rwanda burnd. PERIOD.
 
"naamka asubuhi nina hangover ya pesa, sina hangover ya deni" moja ya line ya joh makini katika ngoma i see me.
 
I see me internationally...I see me overtake Wale..
 
"Namuona baba mmoja tu juu najiona mimi namuona mama mmoja tu chini najiona mimi"
 
Baba Ninapokuwa baa nakunywa local bia, naomba hata mziki unaopigwa uwe local pia, nyeusi kwenye T-shirt ndiyo logo gia
 
kijana anajitahidi sana jinsi anavyo cheza na maneno beat nzuri congrats wasanii wote wanaofanya mziki mzuri kazeni boot ipo siku mtafika level za kimataifa
 
Back
Top Bottom