Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Habar za majukum wadau, wakubwa wang samahan nahtaj msaada kwa anae faham kuhsu taratbu za kuintroduce ngoma mpya kwenye radio stations especially clouds fm, kama kunagharama yoyote au...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari zenu wanajamvi wenzangu. Leo nimeona nije na hili. Nataka kujua track ipi hapo juu inabamba sana kuanzia kiitikio,kughani na mashairi. Karibuni sana
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Habari wajameni,nimekuwa nikifatilia tungo nyingi za wasanii wa bongo fleva na taarab,swali nnalojiuliza kila mwimba bongofleva ametendwa au ameachwa huku wenzao wa taarabu wao ni kuonewa...
0 Reactions
0 Replies
913 Views
Fiesta imeandaliwa chini ya uzamini wa bia ya Serengeti (SBL) na Kili Music Tour imedhaminiwa na bia ya Kilimanjaro (TBL). Wote wanafanya kazi nzuri kwa wasanii wetu, na inawapa ajira na kipato...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Wakuu poleni na majukum ya kila siku. Leo naona kila mmoja atueleze kibao cha bendi au mwanamuziki wa zamani kilivomuingia moyoni na ukiusikiliza wimbo huo unakumbuka nini Mimi nakumbuka kibao...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wapenzi wa burudani na wanazi wa tamasha la Burudani lililopewa Jina la Serengeti Fiesta linalotarajiwa kufanyika katika uwanja wa Kaitaba kesho ijumaa,wamepigwa na butwaa baada ya mastaa kibao...
0 Reactions
16 Replies
7K Views
kiukweli ukiniuliza msanii bora wa r&b basi huyu jamaa anafaanya vizuri sana, Tokea wimbo wa nikikupata, maneno maneno, waubani.. kama haujapata kusikiliza wimbo wake mpya wa Unanichora basi...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
kwa mwenye link anisaidie nyimbo za mr2 album ya coming of the age.. nyimbo hizi; 1.kusema 2.hali halisi 3.wamachinga nk..
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu wapi nitapata vitabu vya James Hadley Chase....kwa anaye jua tafadhar na bei zake..nipo Dar
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kijana anayefanya vizuri kwenye tasnia ya muziki hapa bongo diamond hivi sasa ukitaka kwenda kwenye show yake huna budi kumwaga miekundu mitano(50,000) hii ni bada ya kuweka ujumbe kupitia mtandao...
1 Reactions
80 Replies
11K Views
No. Matches Times 1 Rob Van Dam defeated Cesaro 8:05 2 Dolph Ziggler defeated The Miz 7:52 3 Paige defeated AJ Lee 4:57 4 Rusev (with Lana) defeated Jack Swagger...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nilivyo ona picha hii hapa chini Nikajua itakuwa bonge la ngoma! Kwenda kusikiliza nakutana na u.p.u.pu . Sasa ndo muziki gani huo babu? Mashairi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
kwa wapenzi woote wa music wa Diamond..kaa tayari kwa video ya wimbo mpya kabisa wa diamond..video inayorecodiwa nje kabisa ya Africa mashariki kwa maandalizi yanayofanywa inatalajiwa kuwa aiana...
0 Reactions
129 Replies
45K Views
Wakuu mwenye Nyimbo ambazo ni live Concert Mp3 za kutoka kwa wanamuziki wa Congo naomba anipm Tafadhari
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wadau kikundi kilicho pata ushindi mwaka jana vipi wanaendelea je mpaka sasa kuhusu maswala mazima ya maendeleo
0 Reactions
0 Replies
789 Views
Wazima wana jamvi? Linapokuja swala la nyimbo za mapenzi wengi hutaja R'n'B na Pop kuwa ndo kuna nyimbo nzuri za mapenzi. Je umeshasikiliza nyimbo za hawa watu kwenye muziki wa country? Je...
1 Reactions
58 Replies
16K Views
Msanii R.O.M.A mkatoliki a.k.a Ninja amedondosha bonge la track kwa jina la Maumivu akimshirikisha msanii Bob Junior na ndie producer wa wimbo huu toka sharobaro Record. Wimbo umetambulishwa siku...
2 Reactions
7 Replies
9K Views
"Wapendwa mashabiki wangu na wapenzi wa miduara kwa ujumla nifursa nyingine naitumia kutekeleza ahadi yangu kwenu ya kukupatieni ngoma mpya kila tarehe 15 ya kila mwezi.Leo hii nadondosha mduara...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wanajamii naomba msaada mnipe link ya kupakua hii series ya kikorea ya Swallow the sun ikiwa na english subtitle. Maana nimetafuta bila ya mafanikio,nimeingia hadi kwenye torrents hola au unakuta...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Historia ya mwanamziki maarufu Diamond kabla hajafikia umaarufu wa sasa unaijua? Kama huijui isikilize hapa Mwanamziki Kide akiielezea kwa njia ya wimbo. <br>
0 Reactions
0 Replies
10K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…