Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

South Africa zimetangazwa awards za ma dj bora katika vipengele tofauti, kitu cha ajabu ni kuwa hakuna dj wa bongo hata mmoja. Dj anae shikiria taji kwa Tanzania ni dj MULI B wa clouds fm. Swali...
0 Reactions
11 Replies
7K Views
Her lavish spending habits, jealousy over his ex-girlfriends and disagreements on raising their twins: Inside Mariah Carey and Nick Cannon's marriage breakdown By Eleanor Gower for MailOnline...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Hasheem Thabeet traded to 76ers, but will be waived, per report Prior to the deal, Oklahoma City was about $1.4 million below the luxury tax line. That number now stands at nearly $2.7 million...
0 Reactions
0 Replies
905 Views
Msanii bora wa muziki wa Reggae na Ragga Tanzania, DABO amepata nafasi ya kuipeperusha bendera ya Tanzania katika anga za kimataifa, baada ya kuchaguliwa kuwania tuzo kubwa kabisa za muziki za...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Nimeona sio mbaya kama na mimi leo nikapost changu. Tanzania tuna wasanii wengi mno ila huyu dogo ni zaidi. But ni kwa upande wa RnB. Wadau hebu tumpe sapport click hapa kutazama video yake...
0 Reactions
1 Replies
924 Views
Hip hop inatafsirika au unaweza kuiita ni maisha halisi haijalishi wapi ulipo jinsia yako wala rangi yako. Chimbuko la Hip hop linaweza kufafanuliwa kwa kifupi kama ‘juhudi za wasiojiweza’...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wabongo tunajua sana ku-copy na ku-paste! Ona mifano hii kutoka tasnia mbalimbali, ruksa na wewe kuongezea alie-copy na ku-paste: Daz BABA: Huyu ni memba wa lililokuwa kundi la DAZ Nundaz. Kwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Rap mogul Marion "Suge" Knight shot multiple times after pre-VMA party hosted by Chris Brown. "Shots rang out at 10AK night club in West Hollywood at around 1:30 Sunday...and Suge Knight was...
0 Reactions
0 Replies
664 Views
Enzi hizo RTD kabla ya taarifa ya habari kunakuwa na ujumbe kama huu: Moyo wangu unadunda, usiku na mchana unagonga, uwe macho au usingizini moyo huu uko kazini. Unafanya kazi bila kusita...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kipindi kinaendeshwa na clouds TV. Nimebahatika kuangalia japo kidogo kipindi hiki na kuona hakina maudhui mazuri vilevile wale vijana au sijui ni majaji wanawauliza bibi zetu maswali ya...
2 Reactions
78 Replies
10K Views
Wadau mie ni mmoja kati ya wapenzi wa nyimbo nzuri za bongo flava... Ila kidogo nimepata shida sana pindi ninapokuwa ninaisikiliza nyimbo ya Bambam... Sijaelewa tatizo ni kuwa sijaelewa ile lugha...
0 Reactions
25 Replies
7K Views
Your are here » Home » Features The drama and twists threatening to separate Tanzania's most celebrated couple By John Lawrence Updated Monday, August 25th 2014 at 14:40 GMT +3 0 inShare...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Msanii diamond ameibuka tena mshindi wa tuzo zilizofanyika nchini Burundi,kwa kushinda nyimbo bora Afrika mashariki kupitia nyimbo yake bora kabisa(my number one) CV...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Habari Wadau . Kwa wale wapenda movie/series. Je ni series gani nzuri naweza kuangalia yenye mashiko ,kusimumu zaidi kusikitisha ,na iwe ya ukweli ,yaani iwe imebase kwenye reality story ! ...
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Nafurahi sana ninapoona filamu za kitanzania zikizidi kupata umaarufu ndani na nje ya nchi. Siku hizi filamu nyingi za kibongo zinawekwa 'subtitles' za Kiingereza ili kuongeza uelewa katika lugha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hivi ni mimi tu ninayedhani ushepu wa huyu kipusa unahusika? Halafu sidhani kabisa kama kuna hata chembe ya viambato bandia hapo. Nadhani kila kitu ni asilia. The Boss hebu nipe mkataa wako -...
2 Reactions
9 Replies
3K Views
watu wengi wale waze wa umri wangu wamekuwa wakijichanganya kidogo kuhusu wimbo wa kata ya maji ukweli wakidhani umepigwa na ddc mlimani park ukweli umepigwa na orchestra safari sound oss
0 Reactions
6 Replies
6K Views
Nini maoni ya wadau wa muziki wa zamani kuhusu kipindi hiki? Natumaini mawazo yenu yatawasaidia Isaac Gamba na Rajab Zomboko kukiboresha.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Siku ya jumamosi TANESCO wakijisahau ni burdan haswa. Anzia TBC FM saa kumi na moja alfajiri na KAVASHA mpaka saa tatu asubuhi. Pumzika mpaka saa tano asubuhi kwenye Radio One utakutana na MTAA WA...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom