Hawa vijana wa yamoto band wana vipaji si mchezo. Nimezisikia nyimbo zao tatu, haina ubishi wapo vizuri. Kinachonivutia zaidi ni vijana wa umri mdogo kama wakiweka juhudi hivi hivi na wasipo...
Ukizungumzia muziki wa karne ya 20 huwezi maliza au kueleweka bila kuwataja Michael jackson na Elvis Presley...Je kati ya hawa wasanii wawili yupi alikuwa zaidi ya mwenzake??
Movie yoyote lazima ipitie hatua tano:
1. Development: Hapa ni hatua ya kwanza: Uvumbuzi wa wazo/kisa, ununuzi wa hakimiliki ya idea, Uandishi wa Script na pia pia lazima ijulikane pesa za...
Wanajamvi,
kwa anayekumbuka muziki wa kina Pepe Kalle na Wenge Musica BCBG nadhani vibao hivi viwili vitamsuza roho, pia Kwa Pepe Kalle anakaribia kutimiza miaka 16 tangu afariki. Sio mbaya...
Wanajamvi,inasikitisha kabisa kuona muziki wa dansi umesahaulika na kusababisha kufa kabisa. Miaka ya 1980 tulikuwa na bendi nyingi na walipiga miziki mizuri yenye ujumbe murua kwa jamii, kama...
Papa likambo likambo oh likambo té
Tovandi na ndako yo okangeli nga elongi
esali ngai pasi esengeli nayeba
nabengi yo na chambre po tosolola
namemi ndé ngambo ehh(x2)
ofingi fingi ngai eh pé...
WanaJF,
Nauliza hivi ule wimbo ni wa dini au?
Nilivyousikia kwa mara ya kwanza nikadhani ni Bony Mwaitege kaja na part-2 ya "Mama ni mama"
kabla ya kugundua kuwa ni sauti laini ya Papa Bello...
Usiku wa Jumamosi Agosti 30, 2014, majira ya saa 10 alfajiri, mwanamuziki nyota wa Bongo Flavor, Nasib Abdul maarufu kama Diamond Platnumz alijikuta katika hali ya hatari hadi kuokolewa na Polisi...
Rejea kichwa cha habari!
Wako wapi wabongoflavor hawa?
Raha P
Kali P aka Kali popote
Dan McMamo
Ismael
Fatuma (dada wa hard mad)
Pauline Zongo
Pingu - Deso
Dogo Hamidu
Mr Paul
Mika Mwamba...
Ufunguzi wa ofisi mpya nchini Jamaica unakuja ikiwa hata mwaka mmoja haujapita toka Clouds Media International ilipofungua ofisi zake Abu Dhabi.
Mkurugenzi mtendaji wa Clouds Media, Joseph Kusaga...
Waungwana kwa wale wanaofanya kazi za kuajiriwa. Nafikiri majungu kazini tumeshakutana nao. Wimbo huu hunikumbusha mbali hasa pale kwa mzee Ngurumo nipo lindi nachapa kazi, hakuna majungu wala...
Nimekuwa nikifatilia bongo movie kabla na baada ya kufariki kwa msanii alokubalika zaidi ndani na nje ya nchi, kulikuwa na ushindani wa hali ya juu kati ya Steven Kanumba(R.I.P) na Vicent Kigosi...
The night full of drama...this was one hell of an event! Great music by Diamond Platinumz ...great red carpet looks...and of course, enough love drama that got the whole of Mlimani City hall...
Huyu msanii ni kutoka Uganda, video zake zote ni full ngono.kuanzia swiming pool,farm,china,best man na sasa kaachia moja inaitwa sauna hakika weka mbali na watoto,ukikutwa unaitazama ndoa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.