Hossam
JF-Expert Member
- Feb 10, 2011
- 3,548
- 2,181
Kwa habari nilizozipata ni kuwa the lion king, Mr. Never give up, babuu, anajiandaa kulipua makitu baada ya kuwaachia wabana pua akitaka kuona uwezo wa wabwataji! You get to love this legendary!
Anakuja na vionjo vipyaaa huku akipqnga kuwashirikisha manyang'au wwnaotisha kama kiroboto, afande na professor Jay!
Welcome back true king!
Hutaki unaacha.
Kwangu Pakavu.
Anakuja na vionjo vipyaaa huku akipqnga kuwashirikisha manyang'au wwnaotisha kama kiroboto, afande na professor Jay!
Welcome back true king!
Hutaki unaacha.
Kwangu Pakavu.