Niulizeni chochote kuhusu wanamziki wa A.Kusini

Niulizeni chochote kuhusu wanamziki wa A.Kusini

rushanju

JF-Expert Member
Joined
Nov 3, 2011
Posts
3,327
Reaction score
5,599
Uliza chochote kuhusu mziki na wanamziki toka A. kusini. Kuanzia miaka yote ya nyuma mpaka Sasa.
 
Mkuu tuwekee link ya kudownload video/audio
 
Nini chanzo cha kuvunjika kwa kundi la tkzee?
 
Kuna kikundi kikiitwa zes manjemanje. Early 80's mdingi wangu alikuwa mayo waweza nipa history yao maana nimetafuta kanda zao mpaka basi
 
Deborah Fraiser nahitaji nyimbo zake jamani wapi ntapata???
 
Tuulize wakati hauonekani kabisa.
~~~
Yvonne Chakachaka namkubali sana nyimbo zake kama mkomboti,I'm in luv with DJ,I'm burning it up,Thank u mr Dj for playing my song long tym sana 93's.
 
O'yaba wako wapi cku hz nahitaji nyimbo zao
 
Back
Top Bottom