Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

Mwenye AUDIO ya wimbo wa "TAZAMA RAMANI UTAONA NCHI NZURI" anitumie hapa. Au ni whatsupp kwa namba 0653 09 45 50. please namba sana.
0 Reactions
9 Replies
5K Views
Mtu anajibu hapo hapo,anaropoka huku akipangilia vina,majibu anayotoa ukiwaza kama yanakufikirisha but yeye anapangaje kwa kuongea tu? fuatilia wengi wanaofanya freestyle.
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Naomba comments zako kwenye hii single ambayo nimeidirect na kuedit: https://www.youtube.com/watch?v=NabtmJvbpfs&feature=youtu.be
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Mimi nahitaji series kali ambazo znafanana na 24 prisonbreak nikita arrow ambayo bado inaendelea kutoka NB: hizo za juu ndio series ambazo nmewahi kuziangalia
1 Reactions
50 Replies
10K Views
-Baadhi ya wasanii waliotajwa kuwepo hawakuwepo! -Wananchi wazuiliwa kuingia na vinywaji,vyakula,sigara, kila kitu kiliuzwa ndani! -Marufuku kupiga picha,/kuingia na camera! -Marufuku mtu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
usikose kuhudhuria show ya " Usiku wa Tupac shakur " leo club maisha.
0 Reactions
2 Replies
1K Views
habar wakuu nmecreate new blog hebu nsaidien kuntafutia unique and great name inahusika na udaku na burudani
0 Reactions
0 Replies
892 Views
EUROPE’S LARGEST AFRICAN MUSIC FESTIVAL AFRICA UNPLUGGED PRESENTS DAVIDO – TIWA SAVAGE – DIAMOND PLATNUMZ O2 Academy Brixton and The Ritz in Manchester play host to Africa Unplugged, home to...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huu ndo wimbo mpya wa Ali kiba - mwanaDSm.. Katoa nyimbo mbili,pamoja na kimasomaso{reproduced version},lakin huu ndo FLAGSHIP yake.. Mahadhi ya kipekee kabsa,midundo ya kipekee ilopigwa na Man...
6 Reactions
169 Replies
271K Views
Kwa kipindi kerefu tumekuwa tunatamani kuwa na bendi za uhakika zenye kuweza kuburudisha na kuelimisha jamii. Hasa baada ya bendi nyingi kuchoka kutokana na kuzeeka kwa waimbaji wake, hatimaye...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
This is an UPDATED "Hamna Mwingine" HD Music Video from Worriors From The East Band, DIRECTED BY Michael Ngusa, Arusha - Tanzania Updated HD Music Video "Hamna Mwingine" - YouTube
0 Reactions
0 Replies
930 Views
Hayo ndio matamasha makubwa mawili nchini Tanzania ambayo yanafanyika kila mwaka. Kwa mtazamo wako binafsi, unadhani kati ya Serengeti Fiesta na Kili Music Tour wapi ni bora zaidi (katika kila...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
OZALA MAYELE NONSTOP MIX 80 MIN tambola na mokili ozala mayele mix final(2) Pia enjoy nyimbo za south africa za zamani south africa collection...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Viongozi nahitaji sana vitabu vya mwandishi huyu,maarufu kama Bwana Msa. Siri ya sifuri,Duniani kuna watu.Kisima cha giningi na vinginevyo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanakuja tena! Baada ya kimya cha kitambo kidogo hadi kufikia hatua ya washabiki wao kudai kuwa kuna tetesi za kundi lao kuvunjika sasa Orijino Komedi wanarudi tena msimu mwingine. Bado...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvi! Jaman naombeni link ya uzi wa riwaya ya wakili wa moyo... sikumbuki ni nani aliuweka but Nahitaji sana kuupitia... natumaini ntapewa ushirikiano!!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watch "ALMOST I LOSE IT COVER_-Abby Jewel (ABBY JEWEL_OF…" on YouTube ALMOST I LOSE IT COVER_-Abby Jewel (ABBY JEWEL_OF…: ALMOST I LOSE IT COVER_-Abby Jewel (ABBY JEWEL_OFFICIAL VIDEO) - YouTube
0 Reactions
0 Replies
855 Views
Hii coincidence imekaaje, fiesta ilienda Musoma siku moja kabla ikatokea ajali kubwa sana iliyogharimu maisha ya watu40, zamu hii wanaenda geita majanga tena, majambazi yakavamia kituo cha polisi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
leo nilikuwa eneo la uyole,mbeya. kulikuwa na ''tamasha'' la ngoma za asili. ngoma hizoma zimenikosha mno. nimeitambua ling'oma tu ambayo kiasili ni ngoma ya wanyakyusa. kutokana na ushamba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
click here Watch "Heri Muziki...Don't Judge me (Cover)" on YouTube Heri Muziki...Don't Judge me (Cover): Heri Muziki...Don't Judge me (Cover) - YouTube Ukibonyeza hiyo link utakubaliana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom