Samahani kwa mashabiki wa Msami

Samahani kwa mashabiki wa Msami

Matendo Andrew

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2014
Posts
748
Reaction score
367
Kuna artist hapa nchini anaitwa msami nadhani wengi mtakua mnamjua kwa nyimbo yake ya sound track naomba niulize kwa wale walio ona video duh! Huyu jamaa mbona swaga zake jama sizielewi elewi? Hasa kule mwisho mwisho kucheza + kuregeza macho naomba kama kunaalie iona video hiyo na anamashaka mashaka basi tujipe moyo kidogo maana naumia kweli nikiiona video hii !
 
Back
Top Bottom