Kwa wapenzi na wafuatiliaji wa mieleka (wwe special thread)

Robin Van Mysterio

Senior Member
Jul 24, 2014
102
15
Kwa wale wafuatiliaji na wapenzi wa mchezo wa mieleka (WWE) hii ndio itakua thread yetu ambayo tutakua tukipeana Updates ya kinachoendelea.

Tukianzia na matokeo ya jana Sept 21 katika Pay-Per-View ya "Night of Champions" matokeo yalikuwa kama Ifuatavyo....

1. John Cena def. Brock Lesnar (c) by Disqualification (WWE
World Heavyweight Championship Match)

★Lakini Brock Lesnar amebaki kuwa WWE Champion bcoz Title CAN'T change hand via Disqualification

2. AJ Lee def. Paige (c) &
Nikki Bella (WWE Divas
Championship Triple
Threat Match)
★ AJ Lee amekua divas Champion kwa mara ya 3 sasa.

3. Randy Orton def. Chris
Jericho.

4. Rusev def. Mark Henry
★ Rusev amezidi kuendeleza streak yake ya kutopigwa tangu ajiunge na WWE.

5. The Miz def. Dolph Ziggler
(c) (Intercontinental
Championship Match

6. Sheamus (c) def. Cesaro
(United States Championship Match)

7. Gold & Stardust def. The
Usos (c) (WWE Tag Team
Championship Match)

8. Mechi ya member wawili wa zamani wa "The Shield" Seth Rollin vs Roman Reigns haikufanyika kutokana na Roman Reign kufanyiwa upasuaji. Hivyo Seth Rollins alipewa ushindi.

Lakini kitu kizuri ni kuwa Dean Ambrose ambaye pia ni former member of the Shield alirejea ulingoni baada ya kuwa nje kwa zaidi ya mwezi mmoja na kumshambulia Seth Rollins.

Hivo ndivyo ilivyokua jana katika Night of Champions.. Je leo katika Monday Night Raw itakuaje...!? Tutazidi kupeana updates.

√√√√√√√
 
ladies and gentlemen introducing to you a new dorminating power in a wwe the Great karliiiiiiiiiiiiiiii waou
 
WWWE ni mchezo wa kweli kabisa,hakuna uongo hata kidogo,mara ya kwanza hata mie nilidhani uongo,lakini siku moja nilipobahatika kwenda marekani,nilijiapiza kuwa lazima niende kushuhudia kwa macho yangu,nilisafiri kwa ndege kutoka New york hadi Las vegas,kusema kweli ni mchezo unaopendwa sana wamarekani,na kiingilio chake ni gharama kubwa kulingana na daraja,first class wanalipa hadi $ 2000 na wacheza mieleka wengi ni mamilionea wa kutupwa,mfano John Cena anamiliki viwanda kadhaa vya nguo,kampuni,boti ya kifahari na private jet,jumba kubwa la kifahari kama ikulu,kila mcheza mieleka husaini makubaliano maalumu ambayo hata akifa ulingoni hakuna kesi,ni mchezo hatari sana ule,anayesema ni uongo aende US akaone na si kuleta ubishi wa kwenye kahawa wakati hujui lolote,na ndo maana kila mara wacheza mieleka wanajeruhiwa na kupata vilema,na onyo kali limetolewa kuwa,DON'T TRY THIS,AT HOME,SCHOOL OR ANYWHERE.
 
Ahsante mkuu kwa maelezo yako... maana hata wale wanaosema'ga' WWE na TNA ni uongo kidogo wataanza kuamin kuwa ni ukweli
 
ladies and gentlemen introducing to you a new dorminating power in a wwe the Great karliiiiiiiiiiiiiiii waou

Aaaau huyo kashashiwa siku hizi hana storyline yoyote ... Ila nasikia Khali analipwa hela ndefu kuliko hata Daniel Bryan,Dolph Ziggler na The Miz..
 
WWWE ni mchezo wa kweli kabisa,hakuna uongo hata kidogo,mara ya kwanza hata mie nilidhani uongo,lakini siku moja nilipobahatika kwenda marekani,nilijiapiza kuwa lazima niende kushuhudia kwa macho yangu,nilisafiri kwa ndege kutoka New york hadi Las vegas,kusema kweli ni mchezo unaopendwa sana wamarekani,na kiingilio chake ni gharama kubwa kulingana na daraja,first class wanalipa hadi $ 2000 na wacheza mieleka wengi ni mamilionea wa kutupwa,mfano John Cena anamiliki viwanda kadhaa vya nguo,kampuni,boti ya kifahari na private jet,jumba kubwa la kifahari kama ikulu,kila mcheza mieleka husaini makubaliano maalumu ambayo hata akifa ulingoni hakuna kesi,ni mchezo hatari sana ule,anayesema ni uongo aende US akaone na si kuleta ubishi wa kwenye kahawa wakati hujui lolote,na ndo maana kila mara wacheza mieleka wanajeruhiwa na kupata vilema,na onyo kali limetolewa kuwa,DON'T TRY THIS,AT HOME,SCHOOL OR ANYWHERE.

watch the rock and listen carefully...

[h=1]The Rock talks Muhammad Ali, John Cena, WWE comeback, Lebron, Hercules on Sportscenter 7/15/2014[/h]
 
Last edited by a moderator:

[h=1]Brock Lesnar says WWE is 'Fake' - UFC 141 Press Conference 29/12/11 [/h]
 
Last edited by a moderator:
Host(s)VenueLocationDateRef.
BatistaHP Pavilion at San JoseSan Jose, CaliforniaJune 29, 2009[SUP][2][/SUP][SUP][3][/SUP]
Ted DiBiaseHP Pavilion at San JoseSan Jose, CaliforniaJuly 6, 2009[SUP][8][/SUP][SUP][9][/SUP]
Seth GreenAmway ArenaOrlando, FloridaJuly 13, 2009[SUP][10][/SUP][SUP][11][/SUP]
ZZ Top (Billy Gibbons and Dusty Hill)RBC CenterRaleigh, North CarolinaJuly 20, 2009[SUP][12][/SUP][SUP][13][/SUP]
Shaquille O'NealVerizon CenterWashington, D.C.July 27, 2009[SUP][14][/SUP][SUP][15][/SUP]
Jeremy PivenMohegan Sun ArenaUncasville, ConnecticutAugust 3, 2009[SUP][16][/SUP][SUP][17][/SUP]
Sgt. SlaughterPengrowth SaddledomeCalgary, AlbertaAugust 10, 2009[SUP][18][/SUP][SUP][19][/SUP]
Freddie Prinze, Jr.Scottrade CenterSt. Louis, MissouriAugust 17, 2009[SUP][20][/SUP][SUP][21][/SUP]
Floyd Mayweather, Jr.Thomas & Mack CenterParadise, NevadaAugust 24, 2009[SUP][22][/SUP][SUP][23][/SUP]
Dusty RhodesJoe Louis ArenaDetroit, MichiganAugust 31, 2009[SUP][24][/SUP][SUP][25][/SUP]
Bob BarkerAllstate ArenaRosemont, IllinoisSeptember 7, 2009[SUP][26][/SUP][SUP][27][/SUP]
Trish StratusAir Canada CentreToronto, OntarioSeptember 14, 2009[SUP][28][/SUP][SUP][29][/SUP]
Cedric the EntertainerVerizon ArenaLittle Rock, ArkansasSeptember 21, 2009[SUP][30][/SUP][SUP][31][/SUP]
Al SharptonTimes Union CenterAlbany, New YorkSeptember 28, 2009[SUP][32][/SUP][SUP][33][/SUP]
Ben RoethlisbergerWachovia Arena at Casey PlazaWilkes-Barre, PennsylvaniaOctober 5, 2009[SUP][34][/SUP][SUP][35][/SUP]
Nancy O'Dell and Maria MenounosConseco FieldhouseIndianapolis, IndianaOctober 12, 2009[SUP][36][/SUP][SUP][37][/SUP]
Snoop DoggJacksonville Veterans Memorial ArenaJacksonville, FloridaOctober 19, 2009[SUP][38][/SUP][SUP][39][/SUP]
Kyle Busch and Joey LoganoHSBC ArenaBuffalo, New YorkOctober 26, 2009[SUP][40][/SUP][SUP][41][/SUP]
Ozzy and Sharon OsbourneDCU CenterWorcester, MassachusettsNovember 2, 2009[SUP][42][/SUP][SUP][43][/SUP]
Ricky HattonSheffield ArenaSheffield, EnglandNovember 9, 2009[SUP][44][/SUP][SUP][45][/SUP]
Roddy PiperMadison Square GardenNew York, New YorkNovember 16, 2009[SUP][46][/SUP][SUP][47][/SUP]
Jesse VenturaGiant CenterHershey, PennsylvaniaNovember 23, 2009[SUP][48][/SUP][SUP][49][/SUP]
Verne Troyer1st Mariner ArenaBaltimore, MarylandNovember 30, 2009[SUP][50][/SUP][SUP][51][/SUP]
Mark CubanAmerican Airlines CenterDallas, TexasDecember 7, 2009[SUP][52][/SUP][SUP][53][/SUP]
Dennis MillerAmerican Bank CenterCorpus Christi, TexasDecember 14, 2009[SUP][54][/SUP][SUP][55][/SUP]
Johnny DamonSt. Pete Times ForumTampa, FloridaDecember 21, 2009[SUP][56][/SUP][SUP][57][/SUP]
TimbalandXL CenterHartford, ConnecticutDecember 28, 2009[SUP][58][/SUP][SUP][59][/SUP]
Bret HartNutter CenterDayton, OhioJanuary 4, 2010[SUP][60][/SUP][SUP][61][/SUP]
Mike TysonTarget CenterMinneapolis, MinnesotaJanuary 11, 2010[SUP][62][/SUP][SUP][63][/SUP]
Jon Heder and Don JohnsonThompson-Boling ArenaKnoxville, TennesseeJanuary 18, 2010[SUP][64][/SUP][SUP][65][/SUP]
Dulé HillNationwide ArenaColumbus, OhioJanuary 25, 2010[SUP][66][/SUP][SUP][67][/SUP]
William ShatnerSommet CenterNashville, TennesseeFebruary 1, 2010[SUP][68][/SUP][SUP][69][/SUP]
Carl EdwardsCajundomeLafayette, LouisianaFebruary 8, 2010[SUP][70][/SUP][SUP][71][/SUP]
Jerry SpringerWells Fargo ArenaDes Moines, IowaFebruary 15, 2010[SUP][72][/SUP][SUP][73][/SUP]
Jewel and Ty MurrayConseco FieldhouseIndianapolis, IndianaFebruary 22, 2010[SUP][74][/SUP][SUP][75][/SUP]
Cheech & ChongFord CenterOklahoma City, OklahomaMarch 1, 2010[SUP][76][/SUP][SUP][77][/SUP]
Criss AngelRose GardenPortland, OregonMarch 8, 2010[SUP][78][/SUP][SUP][79][/SUP]
Steve AustinSan Diego Sports ArenaSan Diego, CaliforniaMarch 15, 2010[SUP][80][/SUP][SUP][81][/SUP]
Pete RoseHP Pavilion at San JoseSan Jose, CaliforniaMarch 22, 2010[SUP][82][/SUP][SUP][83][/SUP]
Rob Corddry, Clark Duke and Craig RobinsonUS Airways CenterPhoenix, ArizonaMarch 29, 2010[SUP][84][/SUP][SUP][85][/SUP]
David Otungai wireless CenterMoline, IllinoisApril 5, 2010[SUP][86][/SUP][SUP][87][/SUP]
David HasselhoffThe O2 ArenaLondon, EnglandApril 12, 2010[SUP][88][/SUP][SUP][89][/SUP]
Will Forte, Kristen Wiig and Ryan PhillippeIzod CenterEast Rutherford, New JerseyApril 19, 2010[SUP][90][/SUP][SUP][91][/SUP]
Wayne BradyJacksonville Veterans Memorial ArenaJacksonville, FloridaMay 3, 2010[SUP][92][/SUP][SUP][93][/SUP]
Flavor FlavMellon ArenaPittsburgh, PennsylvaniaMay 10, 2010[SUP][94][/SUP][SUP][95][/SUP]
Buzz AldrinAir Canada CentreToronto, OntarioMay 17, 2010[SUP][91][/SUP][SUP][96][/SUP]
Jon LovitzHuntington CenterToledo, OhioMay 24, 2010[SUP][7][/SUP][SUP][97][/SUP]
Ashton KutcherFrank Erwin CenterAustin, TexasMay 31, 2010[SUP][98][/SUP][SUP][99][/SUP]
Bradley Cooper, Quinton Jackson and Sharlto CopleyAmerican Airlines ArenaMiami, FloridaJune 7, 2010[SUP][100][/SUP][SUP][101][/SUP]
Mark FeuersteinTime Warner Cable ArenaCharlotte, North CarolinaJune 14, 2010[SUP][102][/SUP][SUP][103][/SUP]
Rob ZombieWachovia CenterPhiladelphia, PennsylvaniaJune 28, 2010[SUP][104][/SUP]
Florence HendersonRupp ArenaLexington, KentuckyJuly 12, 2010[SUP][105][/SUP]
Justin Long, Charlie Day and Jason SudeikisStaples CenterLos Angeles, CaliforniaAugust 16, 2010[SUP][106][/SUP]
Chad OchocincoU.S. Bank ArenaCincinnati, OhioSeptember 13, 2010[SUP][107][/SUP]
Johnny KnoxvilleIntrust Bank ArenaWichita, KansasOctober 4, 2010[SUP][107][/SUP]
Bobb'e J. ThompsonPengrowth SaddledomeCalgary, AlbertaOctober 18, 2010[SUP][107][/SUP]
Toby KeithResch CenterGreen Bay, WisconsinOctober 25, 2010[SUP][107][/SUP]
Paul Reubens
(as Pee-wee Herman)
Nassau Veterans Memorial ColiseumUniondale, New YorkNovember 1, 2010[SUP][107][/SUP]
Rima FakihWells Fargo CenterPhiladelphia, PennsylvaniaNovember 29, 2010[SUP][107][/SUP]
Ariel WinterHonda CenterAnaheim, CaliforniaFebruary 14, 2011[SUP][108][/SUP]
Nicole "Snooki" PolizziScottrade CenterSt. Louis, MissouriMarch 14, 2011[SUP][109][/SUP]
Pitbull and MýaAmerican Airlines ArenaMiami, FloridaMay 2, 2011[SUP][110][/SUP][SUP][111][/SUP]
Shawn MichaelsThomas & Mack CenterParadise, NevadaJune 27, 2011
Hugh JackmanQuicken Loans ArenaCleveland, OhioSeptember 19, 2011[SUP][112][/SUP]
The MuppetsPhilips ArenaAtlanta, GeorgiaOctober 31, 2011[SUP][113][/SUP]
Perez HiltonHonda CenterAnaheim, CaliforniaJanuary 16, 2012[SUP][114][/SUP]
James RodayQuicken Loans ArenaCleveland, OhioMarch 12, 2012[SUP][citation needed][/SUP]
The Three Stooges (Moe Howard, Larry Fine, and Curly Howard)
(played by Chris Diamantopoulos, Sean Hayes and Will Sasso respectively)
Verizon CenterWashington, D.C.April 9, 2012[SUP][115][/SUP]
Cyndi LauperNassau Veterans Memorial ColiseumUniondale, New YorkJune 18, 2012[SUP][citation needed][/SUP]
Charlie Sheen
(via Skype)
Scottrade CenterSt. Louis, MissouriJuly 23, 2012[SUP][citation needed][/SUP]
Jared FogleWebster Bank ArenaBridgeport, ConnecticutSeptember 17, 2012[SUP][citation needed][/SUP]
Larry and Shawn KingPower Balance PavilionSacramento, CaliforniaOctober 8, 2012[SUP][citation needed][/SUP]
Mick Foley
(as Santa Claus)
Consol Energy CenterPittsburgh, PennsylvaniaDecember 24, 2012[SUP][citation needed][/SUP]
Michael StrahanNassau Veterans Memorial ColiseumUniondale, New YorkNovember 25, 2013[SUP][116][/SUP]
Betty WhiteStaples CenterLos Angeles, CaliforniaFebruary 10, 2014[SUP][117][/SUP]
Aaron PaulAllstate ArenaRosemont, IllinoisMarch 3, 2014[SUP][118][/SUP]
Arnold Schwarzenegger and Joe ManganielloBarclays CenterBrooklyn, New YorkMarch 24, 2014[SUP][119][/SUP]
Hugh JackmanScottrade CenterSt. Louis, MissouriApril 28, 2014
Kevin HartQuicken Loans ArenaCleveland, OhioJune 16, 2014
Bret HartBell CenterMontreal, QuebecJuly 7, 2014
Flo RidaAmerican Airlines ArenaMiami, FloridaJuly 21, 2014
Jerry SpringerBaltimore ArenaBaltimore, MarylandSeptember 8, 2014
ALL guest stars ABOVE COULDNT ACCEPT TO RUIN THEIR CAREERS IF THIS WASNT JUST ENTERTAINMENT.
 
WWWE ni mchezo wa kweli kabisa,hakuna uongo hata kidogo,mara ya kwanza hata mie nilidhani uongo,lakini siku moja nilipobahatika kwenda marekani,nilijiapiza kuwa lazima niende kushuhudia kwa macho yangu,nilisafiri kwa ndege kutoka New york hadi Las vegas,kusema kweli ni mchezo unaopendwa sana wamarekani,na kiingilio chake ni gharama kubwa kulingana na daraja,first class wanalipa hadi $ 2000 na wacheza mieleka wengi ni mamilionea wa kutupwa,mfano John Cena anamiliki viwanda kadhaa vya nguo,kampuni,boti ya kifahari na private jet,jumba kubwa la kifahari kama ikulu,kila mcheza mieleka husaini makubaliano maalumu ambayo hata akifa ulingoni hakuna kesi,ni mchezo hatari sana ule,anayesema ni uongo aende US akaone na si kuleta ubishi wa kwenye kahawa wakati hujui lolote,na ndo maana kila mara wacheza mieleka wanajeruhiwa na kupata vilema,na onyo kali limetolewa kuwa,DON'T TRY THIS,AT HOME,SCHOOL OR ANYWHERE.

Guys be informed WWE is just an entertainment and not in sports category. Many and most of what happens in the ring are planned and not live.
Imagine the real human body to be smashed with an heavy scrached piece of metal but no fracture, blood or death.
That's why don't try it by any means.
Anyway I very very much like it and I am a deadly wwe funy.
 
NBA PLAYERS WHO PARTICIPATED IN WWE...
KARL MALONE(UTAH JAZZ)

15z04zm.jpg
05beb24082143e1e16c2a816081a7759.jpg

DENNIS RODMAN(CHICAGO BULLS)

1361555730_dennis-rodman-then-560.jpg

19970713_luger_giant_rodman_hogan.jpg

SHAQ ONEAL(L.A LAKERS)
eb14e27c8e603c302883a472a09f0b1d.jpg
20120221_raw_show_shaq.jpg
shaq.jpg
 
IF NOT A SCRIPTED ENTERTAINMENT NI TANGU LINI REFA ANAPIGWA???NIAMBIE MCHEZO MWINGINE REFA ANAPIGWA NA POLISI/OTHER OFFICIALS HAWAINGILII KATI...

RR14_Photo_100_crop_north.jpg

vlcsnap-2013-05-06-00h37m18s208_zpsf6f27fad.png
 
NI MCHEZO(IF REAL) GANI HAO HAO WANAMIELEKA NI MAREFA???!!!!
20130818215046.0_standard_709.0.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom