Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

On JF:

EUROPE’S LARGEST AFRICAN MUSIC FESTIVAL AFRICA UNPLUGGED PRESENTS DAVIDO – TIWA SAVAGE – DIAMOND PLATNUMZ O2 Academy Brixton and The Ritz in Manchester play host to Africa Unplugged, home to...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Huu ndo wimbo mpya wa Ali kiba - mwanaDSm.. Katoa nyimbo mbili,pamoja na kimasomaso{reproduced version},lakin huu ndo FLAGSHIP yake.. Mahadhi ya kipekee kabsa,midundo ya kipekee ilopigwa na Man...
6 Reactions
169 Replies
271K Views
Kwa kipindi kerefu tumekuwa tunatamani kuwa na bendi za uhakika zenye kuweza kuburudisha na kuelimisha jamii. Hasa baada ya bendi nyingi kuchoka kutokana na kuzeeka kwa waimbaji wake, hatimaye...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
This is an UPDATED "Hamna Mwingine" HD Music Video from Worriors From The East Band, DIRECTED BY Michael Ngusa, Arusha - Tanzania Updated HD Music Video "Hamna Mwingine" - YouTube
0 Reactions
0 Replies
927 Views
Hayo ndio matamasha makubwa mawili nchini Tanzania ambayo yanafanyika kila mwaka. Kwa mtazamo wako binafsi, unadhani kati ya Serengeti Fiesta na Kili Music Tour wapi ni bora zaidi (katika kila...
0 Reactions
37 Replies
6K Views
OZALA MAYELE NONSTOP MIX 80 MIN tambola na mokili ozala mayele mix final(2) Pia enjoy nyimbo za south africa za zamani south africa collection...
0 Reactions
2 Replies
7K Views
Viongozi nahitaji sana vitabu vya mwandishi huyu,maarufu kama Bwana Msa. Siri ya sifuri,Duniani kuna watu.Kisima cha giningi na vinginevyo.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wanakuja tena! Baada ya kimya cha kitambo kidogo hadi kufikia hatua ya washabiki wao kudai kuwa kuna tetesi za kundi lao kuvunjika sasa Orijino Komedi wanarudi tena msimu mwingine. Bado...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wana jamvi! Jaman naombeni link ya uzi wa riwaya ya wakili wa moyo... sikumbuki ni nani aliuweka but Nahitaji sana kuupitia... natumaini ntapewa ushirikiano!!!!
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Watch "ALMOST I LOSE IT COVER_-Abby Jewel (ABBY JEWEL_OF…" on YouTube ALMOST I LOSE IT COVER_-Abby Jewel (ABBY JEWEL_OF…: ALMOST I LOSE IT COVER_-Abby Jewel (ABBY JEWEL_OFFICIAL VIDEO) - YouTube
0 Reactions
0 Replies
848 Views
Hii coincidence imekaaje, fiesta ilienda Musoma siku moja kabla ikatokea ajali kubwa sana iliyogharimu maisha ya watu40, zamu hii wanaenda geita majanga tena, majambazi yakavamia kituo cha polisi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
leo nilikuwa eneo la uyole,mbeya. kulikuwa na ''tamasha'' la ngoma za asili. ngoma hizoma zimenikosha mno. nimeitambua ling'oma tu ambayo kiasili ni ngoma ya wanyakyusa. kutokana na ushamba...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
click here Watch "Heri Muziki...Don't Judge me (Cover)" on YouTube Heri Muziki...Don't Judge me (Cover): Heri Muziki...Don't Judge me (Cover) - YouTube Ukibonyeza hiyo link utakubaliana na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hawa vijana wa yamoto band wana vipaji si mchezo. Nimezisikia nyimbo zao tatu, haina ubishi wapo vizuri. Kinachonivutia zaidi ni vijana wa umri mdogo kama wakiweka juhudi hivi hivi na wasipo...
1 Reactions
8 Replies
3K Views
Ukizungumzia muziki wa karne ya 20 huwezi maliza au kueleweka bila kuwataja Michael jackson na Elvis Presley...Je kati ya hawa wasanii wawili yupi alikuwa zaidi ya mwenzake??
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Movie yoyote lazima ipitie hatua tano: 1. Development: Hapa ni hatua ya kwanza: Uvumbuzi wa wazo/kisa, ununuzi wa hakimiliki ya idea, Uandishi wa Script na pia pia lazima ijulikane pesa za...
4 Reactions
10 Replies
9K Views
Kama inatokea kuna show inapigwa kwa siku moja na sehemu tofauti,kati ya show ya diamond platnum na show ya ally kiba ipi ungependa kuhudhuria
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wanajamvi, kwa anayekumbuka muziki wa kina Pepe Kalle na Wenge Musica BCBG nadhani vibao hivi viwili vitamsuza roho, pia Kwa Pepe Kalle anakaribia kutimiza miaka 16 tangu afariki. Sio mbaya...
1 Reactions
3 Replies
7K Views
Wanajamvi,inasikitisha kabisa kuona muziki wa dansi umesahaulika na kusababisha kufa kabisa. Miaka ya 1980 tulikuwa na bendi nyingi na walipiga miziki mizuri yenye ujumbe murua kwa jamii, kama...
0 Reactions
12 Replies
5K Views
Papa likambo likambo oh likambo té Tovandi na ndako yo okangeli nga elongi esali ngai pasi esengeli nayeba nabengi yo na chambre po tosolola namemi ndé ngambo ehh(x2) ofingi fingi ngai eh pé...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom