Jamii za Carribean

Jamii za Carribean

Papa Mopao

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2009
Posts
4,157
Reaction score
2,664
Watu wa Carribean sijui wanaishije, kwny youtube nimeangalia staili za maisha yao mpaka disco zao zilivyo kwa kweli wana kautaratibu fulani ambao huku Africa sijui kama tunaishi kama wao.

Zaidi zaidi disco zao wanawake wanasimama upande mmoja wanaume nao upande wa pili kule, panapochanganyika ni wale wanaocheza tu music, ila wadada wanacheza kingono ngono mno kama vile staili mbuzi kagoma na wainama kabisa, sura zao zimekaa kama dizaini kama sura ya Jay Z na wadada nguo zao unaweza ukakimbia, hapa bongo wadada wanavaa kistarabu sana, kule Carribean kwny madisco wadada wanavaa manguo ambayo mpaka ndani unaona bila chenga...kweli kila nchi ina style ya kimaisha
 
Nataka niende nikaone..........unajua ni sh ngapi nauli......?
 
Tafuta Youtube alaf kwenye search box tafuta Carribean society utapata vingi, kama una hela ya kwenda nenda!
 
weka link watu tuingie moja kwa moja youtube tujionee uhalisia
 
Watu wa Carribean sijui wanaishije, kwny youtube nimeangalia staili za maisha yao mpaka disco zao zilivyo kwa kweli wana kautaratibu fulani ambao huku Africa sijui kama tunaishi kama wao.
Zaidi zaidi disco zao wanawake wanasimama upande mmoja wanaume nao upande wa pili kule, panapochanganyika ni wale wanaocheza tu music, ila wadada wanacheza kingono ngono mno kama vile staili mbuzi kagoma na wainama kabisa, sura zao zimekaa kama dizaini kama sura ya Jay Z na wadada nguo zao unaweza ukakimbia, hapa bongo wadada wanavaa kistarabu sana, kule Carribean kwny madisco wadada wanavaa manguo ambayo mpaka ndani unaona bila chenga...kweli kila nchi ina style ya kimaisha

You are right, nilikaa haiti 3 years mwanzo nilipata shida kuzoea life style . You cant define their culture sio african au western, wanakaa nusu uchi hata kazini .Ukienda beach zao ndoo utaona shape zote zana dada, ila niwazuri
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom