Mnyama jana kaonesha unyama wake, kadhihirisha kuwa yeye sio mzee,
Zidane ili arudishe makali ya Real basi hana budi kumrudisha huyu mnyama kwa gharama yoyote ile, pengo la mnyama ni kubwa mnoooo...
Ziara za kushtukiza zinachekesha sana
Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chache sana kama nikibahatika kupita mahala kuna luninga. Sasa...
Ukiachana donnie yen huyu max zhang namuelewa vibaya may be cause napenda ngumi mno ila ni moja wa actor wanafanya vizuri mchizi anaspidi anavyopigana anatulia anambwembwe tony jaa na mwezake wu...
Moja kati ya Tv Show tamu sana kwa wakati huu, jamaa wamecheza.
The Oval pia nasikia iko sawa ila sijabahatika kuipakua. Yeyote mwenye utaalamu rahisi wa namna ya kupakua HD Series I mean it HD...
From http://zeitgeistmovie.com/statement
Zeitgeist, produced by Peter Joseph, was created as a nonprofit expression to inspire people to start looking at the world from a more critical...
Kiasi cha wiki mbili tu zilizopita endapo pangetoea wa kuniuliza nawafahamu waigizaji wangapi wa Kihindi, jibu lingekuwa mmoja tu, Amitabh Bachchan! Na kama angeendelea kunitaka nitaje japo filamu...
ZECOMEDY SHOW kipindi kinachorushwa saa 12:30 jion siku ya jumamosi EATV wamezungumzia makundi yaliopo ndani ya sanaa yao ya uigizaji kuna makundi karibia matatu yote yanaona yao yako juu
Kama...
SOURCE GLOBAL PUBLISHER
Uchunguzi wa Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita kwa kuhusisha vyanzo mbalimbali, wakiwemo wasanii wa Ze Comedy, umebaini vipengele kadhaa ambavyo kiuhalisia na...
Ya nini malumbano
http://www.youtube.com/watch?v=EhLMPL8PY6E&feature=player_embedded#at=155
Asha ngedere
http://www.youtube.com/watch?v=Uwb8Hx-3IbU&feature=related
Kwenye hii video nimegundua...
Baada ya mvutano wa muda mrefu na kituo cha TV cha EATV baada ya mkataba wao kwisha na "Ze Comedy" wakasaini mkataba na TBC1 kisha wakapata pingamizi kuhusu matumizi ya jina "Ze Comedy" ndani ya...
Ze Comedy wana haki kuhamia TBC-Serikali
*Kesi yao dhidi ya EATV kusikilizwa Jumatano
*Mengi asema hana chuki nao na anawapenda
Kulwa Mzee, Dodoma na Grace Michael, Dar
SAKATA la...
Ze Comedy wabwagwa kortini
na Vumilia Kondo
MAHAKAMA Kuu Kitengo cha biashara, jana ilitupilia mbali ombi la kundi la sanaa za vichekesho la Ze Comedy kutaka mahakama hiyo itoe...
Orijino Komedi walilia nauli
Tukio hilo lilitokea Novemba 11 mwaka huu ,Oysterbay jijini Dar es Salaam, katika viunga vya Club hiyo ambayo iliteketea kwa moto hivi karibuni.
Komedi walifika...
Kwa wapenzi wa wa tasnia ya vichekesho, kuna komedi ya TBC na ile ambayo imeanza pale EATV, kwa mtazamo wangu akina Joti wa TBC wameshaanz kupwaya ukilinganisha na hawa jamaa ambao wamekuja kwa...
Binafsi si mpenzi sana wa vipindi vya michezo ya kuigiza vya Tanzania. Nlijaribu miaka flan nikaona vimepoteza uelekeo na asilimia 85 hawajui kuigiza.
Wanafanya mambo ya kitoto sana, michezo...
Leo wameanza EATV .
Nia na uwezo wanao lakini washauliwa yafuatayo :
1. Shooting ni poor (yaani kuna mwangwi kibao katika sauti na picha zinamovuzishwa haraka sana)
2. Pateni vifaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.