Nelson Kileo
JF-Expert Member
- Oct 29, 2011
- 3,062
- 3,280
Moja kati ya Tv Show tamu sana kwa wakati huu, jamaa wamecheza.
The Oval pia nasikia iko sawa ila sijabahatika kuipakua. Yeyote mwenye utaalamu rahisi wa namna ya kupakua HD Series I mean it HD as D kwenye Simu please share process na mm hapa. Nitashukuru sana, kwangu Bundle si tatizo.
Sent using Jamii Forums mobile app