Zeitgeist - The Movie | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zeitgeist - The Movie

Discussion in 'Entertainment' started by MwanaHaki, Apr 30, 2008.

 1. MwanaHaki

  MwanaHaki R I P

  #1
  Apr 30, 2008
  Joined: Oct 17, 2006
  Messages: 2,403
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 145
  From http://zeitgeistmovie.com/statement

  Hii ni sinema ambayo inafichua ukweli halisi juu ya mambo mengi, kuanzia masuala ya dini (ZOTE), uongo mkuu wa vita dhidi ya ugaidi (9-11), na mambo mengi zaidi. Lengo lake ni kutufanya sisi binadam kuanza kuhoji zaidi juu ya kile tunachoambiwa kwamba ni kweli.

  Nimefanikiwa ku-download hii sinema, na niko tayari kuwatengenezea nakala kwa gharama nafuu. Inachukua muda mrefu ku-download, lakini ninaweza kuwatengenezea DVD zake, nanyi mkajionea wenyewe nyumbani mwenu, ili nanyi mpate kujua ukweli.

  Atakayetaka kupata nakala ili ajue ukweli, anitafute kwa njia ya PM.

  ./Mwana wa Haki
   
 2. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #2
  Feb 1, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Pretty interesting about how this documentary is the killer and astonishingly relevant.

  Ningerekomend watu waangalie hii documentary na ku-highlight mambo yanayozungumzwa na relevance yake kwetu kama Taifa, kama binadamu au kama dunia.
  Nitakuwa narejea kuongelea similarities na maoni yangu kuhusu hii documentary.
   
 3. Kiranga

  Kiranga JF-Expert Member

  #3
  Feb 1, 2010
  Joined: Jan 29, 2009
  Messages: 34,605
  Likes Received: 6,174
  Trophy Points: 280
  Imma Netflix this, if they have it.
   
 4. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #4
  Feb 1, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  The authors says they have a new one. "REMASTERED VERSION". I have just watched 'Addendum'. Sasa sijui ipi ni latest.

  Kwenye Addendum kidogo wamenifurahisha kwa ku-suggest solutions kadr ya muono wao ili mambo yanyooke, though its seems to me those ideas will fall in deaf ears as usual. I'm also pretty skeptical kwenye mambo mengine wanayoyasajest. Anyway ntarudi kuyaongelea.
   
 5. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #5
  Feb 2, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kuna jambo wameliongelea kwenye addendum, kuhusu how the money come into circulation kutoka kwa Fed reserves etc etc. Mimi sio mchumi na ningependa wachumi kama wangeitizama hii documentary na ku-assess yanayoongelewa..It would be much more of a solution to our understanding.

  Kwamba money = debts, if it is true we can not neglect this, maana it is a basis of much bigger problems the world face today. Matatizo mengine yote tunayoyahangaikia utatuzi yanaweza yakawa ni very very mild and secondary.

  Nakubaliana na ideas kwamba monetary economy au system imefeli na ultimately ndio source ya matatizo mengi, due to accumulation ya resources na wealth kwa kikundi fulani tu cha elites na asilimia kubwa ya watu tunabakia kugawana na kuscramble for the smallest remaining portions or leftovers.
   
Loading...