Ze Comedy | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ze Comedy

Discussion in 'Entertainment' started by Kibunago, Sep 23, 2010.

 1. Kibunago

  Kibunago JF-Expert Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 288
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Leo wameanza EATV .

  Nia na uwezo wanao lakini washauliwa yafuatayo :

  1. Shooting ni poor (yaani kuna mwangwi kibao katika sauti na picha zinamovuzishwa haraka sana)
  2. Pateni vifaa vinavyokaribia na ukweli mfano Vitabu darasani na sio madaftari (yaani haichekeshi chochote hapo)
  3. Fanyeni matizi zaidi ili muda mwingi mtumie kuchekesha kweli! Tafuteni watu waandikie scripts au kuwaandalia vituko au vichekesho vya nguvu!


  Nimefurahia sana somo la historia kuhusu Mazuzu!
   
 2. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Kumbe bado wapo hawa...???
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  dah nilishasahau km kuna comedy bongo hii
   
 4. k

  kichenchele JF-Expert Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 521
  Likes Received: 61
  Trophy Points: 45
  hakuna kazi isiyohitaji profession, mambo ya kugangaganga yamepitwa na wakati, waende shule
   
 5. Mbu

  Mbu JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 11, 2007
  Messages: 12,729
  Likes Received: 187
  Trophy Points: 160
  kuna Ze Comedy ya EATV - Kingwendu, Bambo, et al, na
  Orijino Komedi ya TBC- Joti, Masanja, Mpoki, etc...
  au nimekosea jamani?

   
 6. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #6
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  SIMBA vs YANGA
   
 7. The Finest

  The Finest JF-Expert Member

  #7
  Sep 24, 2010
  Joined: Jul 14, 2010
  Messages: 21,709
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Wala haujakosea uko sawa sawia kabisa
   
Loading...