Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...

JF Prefixes:

Mnyama jana kaonesha unyama wake, kadhihirisha kuwa yeye sio mzee, Zidane ili arudishe makali ya Real basi hana budi kumrudisha huyu mnyama kwa gharama yoyote ile, pengo la mnyama ni kubwa mnoooo...
0 Reactions
2 Replies
725 Views
Ziara za kushtukiza zinachekesha sana Mimi ni msomaji mzuri wa magazeti, na msikilizaji mzuri wa redio, huwa naangalia luninga mara chache sana kama nikibahatika kupita mahala kuna luninga. Sasa...
0 Reactions
1 Replies
448 Views
Ukiachana donnie yen huyu max zhang namuelewa vibaya may be cause napenda ngumi mno ila ni moja wa actor wanafanya vizuri mchizi anaspidi anavyopigana anatulia anambwembwe tony jaa na mwezake wu...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Moja kati ya Tv Show tamu sana kwa wakati huu, jamaa wamecheza. The Oval pia nasikia iko sawa ila sijabahatika kuipakua. Yeyote mwenye utaalamu rahisi wa namna ya kupakua HD Series I mean it HD...
0 Reactions
3 Replies
796 Views
From http://zeitgeistmovie.com/statement Zeitgeist, produced by Peter Joseph, was created as a nonprofit expression to inspire people to start looking at the world from a more critical...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kiasi cha wiki mbili tu zilizopita endapo pangetoea wa kuniuliza nawafahamu waigizaji wangapi wa Kihindi, jibu lingekuwa mmoja tu, Amitabh Bachchan! Na kama angeendelea kunitaka nitaje japo filamu...
0 Reactions
9 Replies
4K Views
ZECOMEDY SHOW kipindi kinachorushwa saa 12:30 jion siku ya jumamosi EATV wamezungumzia makundi yaliopo ndani ya sanaa yao ya uigizaji kuna makundi karibia matatu yote yanaona yao yako juu Kama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
SOURCE GLOBAL PUBLISHER Uchunguzi wa Ijumaa Wikienda, wikiendi iliyopita kwa kuhusisha vyanzo mbalimbali, wakiwemo wasanii wa Ze Comedy, umebaini vipengele kadhaa ambavyo kiuhalisia na...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Hivi jaman kuna live stream ya kuangalia ze komedi origino over the net? Nimewamiss sana hawa vijana, hua wananikuna sana.
0 Reactions
0 Replies
896 Views
Ya nini malumbano http://www.youtube.com/watch?v=EhLMPL8PY6E&feature=player_embedded#at=155 Asha ngedere http://www.youtube.com/watch?v=Uwb8Hx-3IbU&feature=related Kwenye hii video nimegundua...
4 Reactions
1 Replies
2K Views
Tamaa iliwaponza... byebye
1 Reactions
24 Replies
3K Views
Baada ya mvutano wa muda mrefu na kituo cha TV cha EATV baada ya mkataba wao kwisha na "Ze Comedy" wakasaini mkataba na TBC1 kisha wakapata pingamizi kuhusu matumizi ya jina "Ze Comedy" ndani ya...
0 Reactions
34 Replies
7K Views
Wadau, E.A.TV wameanza mchakato wa kutafuta Ze comedy wapya kuziba Pengo la akina Orijino Komedi.... Zoezi litakuwa trh 8....
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Ze Comedy wana haki kuhamia TBC-Serikali *Kesi yao dhidi ya EATV kusikilizwa Jumatano *Mengi asema hana chuki nao na anawapenda Kulwa Mzee, Dodoma na Grace Michael, Dar SAKATA la...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ze Comedy wabwagwa kortini na Vumilia Kondo MAHAKAMA Kuu Kitengo cha biashara, jana ilitupilia mbali ombi la kundi la sanaa za vichekesho la Ze Comedy kutaka mahakama hiyo itoe...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Orijino Komedi walilia nauli Tukio hilo lilitokea Novemba 11 mwaka huu ,Oysterbay jijini Dar es Salaam, katika viunga vya Club hiyo ambayo iliteketea kwa moto hivi karibuni. Komedi walifika...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Kwa wapenzi wa wa tasnia ya vichekesho, kuna komedi ya TBC na ile ambayo imeanza pale EATV, kwa mtazamo wangu akina Joti wa TBC wameshaanz kupwaya ukilinganisha na hawa jamaa ambao wamekuja kwa...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Binafsi si mpenzi sana wa vipindi vya michezo ya kuigiza vya Tanzania. Nlijaribu miaka flan nikaona vimepoteza uelekeo na asilimia 85 hawajui kuigiza. Wanafanya mambo ya kitoto sana, michezo...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Siku hizi ipo siku gan na saa ngapi wadau.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Leo wameanza EATV . Nia na uwezo wanao lakini washauliwa yafuatayo : 1. Shooting ni poor (yaani kuna mwangwi kibao katika sauti na picha zinamovuzishwa haraka sana) 2. Pateni vifaa...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Back
Top Bottom